Trump anapanga Kujitoa UN na NATO

Trump anapanga Kujitoa UN na NATO

Unaelewa maana ya hasara au inavyopatikana?
Sasa mimi nikielewa then what? Trump kaitoa WHO sababu kaona hamna faida anapoteza hela na hivyo anataka kuitoa UN au humsikiagi Trump?
 
Hakubadilika akiwa Rais term yake ya kwanza....
Hakubadilika baada ya kushindwa uchaguzi mkuu ...

Abadilike leo baada ya kupambana na kuingia tena ikulu?!!! Ha ha ha hata ingekuwa ni wewe ukaamua KUBADILIKA basi wachokonozi wa hoja tungekushangaa ,sitaki kumshangaa mh.Rais Trump....


Yeye ni GAME CHANGER na hao. viongozi wanaokuja watajua wenyewe njia za kupita.......


#Beyond Horizon!
Trump ni egoist mwenye madaraka na umaarufu, kuwa kwake yupo juu muda huu hakuondoi ukweli wowote wenye kuyahusu maisha yake mpaka kufikisha miaka 79.

Msikilize Tom Bolton aliyekuwa kwenye baraza lake la mawaziri namna anavyomuongelea jinsi anavyoiharibu foreign policy ya USA.

Tatizo letu wabongo ni kuziamini hizi habari za whatsapp na kuingia kwenye ushabiki maandazi wa siasa za kidunia.
 
Kila sekunde iendayo inazidi kuniongezea mapenzi makubwa kwa taifa langu JMT....nje huko hatuna wajomba....ninawashangaa vyama vya upinzani Tanzania kuhangaika kutusemea kwa wajomba....ha ha ha ha
Tanzania iendelee kusimamia mambo ya maslahi yake kwani mh.Rais Trump anatutia KIBURI cha kila mtu asimamie lake/chake bila ya KUTETEREKA na bila ya kumuogopa yeyote na chochote kile.....

*Trump ni mpango wa Mwenyezi Mungu !
*********************
#Tanzania is a sovereign nation!

#Twende na Samia 2025 !!
25% ya bajeti ya tanzania inategemea misaada ya wazungu, wakikata misaada tutaishi vipi?
 
Elimu ndogo Trump anaongozwa na chuki na mawazo mengi ya kihuni tu.

Walitaka wamlazimishe Zelensky asaini mkataba mbaya kwa Ukraine kwa maslahi ya makampuni ya kimarekani na akawashtukia wakaanza kumshambulia kwa maneno ya hasira na dharau zile zile za kizungu.
Sasa kama zelensky hakutaka kusaini mkataba alienda marekani kufanya nini?
 
Trump ni egoist mwenye madaraka na umaarufu, kuwa kwake yupo juu muda huu hakuondoi ukweli wowote wenye kuyahusu maisha yake mpaka kufikisha miaka 79.

Msikilize Tom Bolton aliyekuwa kwenye baraza lake la mawaziri namna anavyomuongelea jinsi anavyoiharibu foreign policy ya USA.

Tatizo letu wabongo ni kuziamini hizi habari za whatsapp na kuingia kwenye ushabiki maandazi wa siasa za kidunia.
In political critics ,one can say anything against the opponent.....

Migongano ya mawazo ndio maendeleo yenyewe....tunampangiaje Trump cha kufanya?!!

Tunataka tuzifahamu fikra za watu 💯 p ili tuwe na "comfort zone" kidiplomasia?!!

Ninadhani ubora wa fikra katika diplomasia ni kufungua mabano ya watu wasiotabirika ....

Its high time for african nations to invest hugely in the new ways of diplomatic paths to untangle the unpredictable world.....
 
Sasa kama zelensky hakutaka kusaini mkataba alienda marekani kufanya nini?
Alikwenda kusaini mkataba mkubwa zaidi, wao wakatanguliza akili za kibiashara wakataka asaini mkataba wa madini muda huu nchi yake ikiwa na vita kubwa dhidi ya Russia, ambao ungeitia utumwani Ukraine kwa miaka mingi ijayo.
 
New York ilikuwa inafanya biashara sana wakati wa vikao vya UNGA na mahoteli yalikuwa yakiingiza fedha nyingi sasa watu wa New York watakuwa wamepoteza biashara aisee hivi huyu Trump bado anafanya biashara za Hoteli?
Yaani USA itegemee pesa za kwenye vikao 🤣🤣v
 
Arusha haina hadhi labda yaamishiwe Kigali
Kwa Tanzania Arusha ndio kitovu Cha office za kimataifa ,dar ni jiji la kibiashara mikoa mingine yote ni wasindikizaji
 
Hata kama hatuelewi sana lakini nani anaweza kunambia hasa kazi za UN kwenye modern world? Nini walikikataa au kukiunga mkono na dunia ikafata, nini/kipi? Same as AU na yenyewe ni kijiwe cha wazee cha kwenda kupigia story na kuondoa stress zao ndogo ndogo, hivyo vyombo havina TIJA yoyote kwa sasa; BTW is American ndio mfadhili wa UN, better him leave ili na wengine nao waondoke
 
Kwa Tanzania Arusha ndio kitovu Cha office za kimataifa ,dar ni jiji la kibiashara mikoa mingine yote ni wasindikizaji
Dar jiji au kichaka kilichochangamka😁😁
 
Back
Top Bottom