Trump anapanga Kujitoa UN na NATO

Trump anapanga Kujitoa UN na NATO

Bilionea Elon Musk ameonyesha kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa katika Umoja wa Mataifa (UN) na Muungano wa Kijeshi wa NATO.

Akijibu chapisho la mtandaoni jana Jumapili lililohimiza hatua hiyo, Musk, ambaye anaongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani (DOGE), aliandika kwa ufupi: "Ninakubaliana."

Rais wa Marekani, Donald Trump, na wabunge wa chama cha Republican wameahidi kutathmini upya ushiriki wa Washington katika UN na NATO.

Mnamo Februari, Seneta Mike Lee wa Utah aliwasilisha mswada wa DEFUND Act, unaopendekeza Marekani ijiondoe kabisa kutoka UN. Lee alikosoa Umoja wa Mataifa kama “jukwaa la madikteta” linalopinga Marekani na washirika wake, akisema licha ya ufadhili mkubwa, UN imeshindwa kuzuia vita, mauaji ya kimbari, ukiukwaji wa haki za binadamu, na majanga ya kiafya.

Nipashe

====

My Take
Sawa tuu ajitoe kwani lazima awepo? Dunia inakoelekea ni kutamu. Na chawa wake bwana Musk yeye Huwa ni kusema ndio Mzee tu.
Itakuwa jambo jema sana kwa kweli
 
Biashara zote zinakwenda zikifilisika, Mpaka ile aliyoirithi kutoka kwa Baba yake, jiulize kwanini.

Trump kapigiwa kura na wamarekani wengi waliomkataa mwanamke Harris kuwa rais wao, democrats wangekuwa na mgombea mwanaume sidhani kama Trump angeweza kuwashawishi.
Mkuu mbona unaendelea "kujibanzabanza"...matokeo yoyote ya uchaguzi huwa yana "post election discussions" na ndani yake zinapatikana hoja za kwanini alishinda na kwanini alishindwa.....

Iko wazi , democratic hawakuwa na mtu wa kupambana na Trump kufikia kumpeleka yule mama....na kwa kuwa alikuwa ndio mgombea wao ,hawakujitoa uchaguzini ha ha ha ha

Mkuu wangu utajiri wa mwanadamu unaongezeka na kupungua....utajiri wake umempa kujiamini na kumfikisha nafasi kubwa kuliko nafasi zote alizonazo mwanadamu.....huyo hadogosheki kirahisi.....
 
Lazima ajipange na abadilike ingawa ni mzee wa miaka 80, vinginevyo urais wake utakuja kuwasumbua wanasiasa watakaomfuatia katika cheo chake.
 
Hakubadilika akiwa Rais term yake ya kwanza....
Hakubadilika baada ya kushindwa uchaguzi mkuu ...

Abadilike leo baada ya kupambana na kuingia tena ikulu?!!! Ha ha ha hata ingekuwa ni wewe ukaamua KUBADILIKA basi wachokonozi wa hoja tungekushangaa ,sitaki kumshangaa mh.Rais Trump....

Yeye ni GAME CHANGER na hao. viongozi wanaokuja watajua wenyewe njia za kupita.......

#Beyond Horizon!
 
Trump yy anacho angalia US kwanza na maslahi ya taifa, maswala ya diplomasia huku ya kiipa hasara nchi yake hataki kuyasikia. Ila NATO watajifunza na sasa ndio wanaelewa kwa nini US haina rafiki wala adui wa kudumu.
UN inaipa hasara gani Marekani??
 
Miongozo mipya ya diplomasia itakayoandikwa ndio yale majibizano na Zelensky?. Marais wanajibizana kama mashabiki wa mpira kibanda umiza. Trump anatakiwa kupigwa msasa kwenye masuala ya itifaki na diplomasia
Kupigwa msasa nani??
 
Bilionea Elon Musk ameonyesha kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa katika Umoja wa Mataifa (UN) na Muungano wa Kijeshi wa NATO.

Akijibu chapisho la mtandaoni jana Jumapili lililohimiza hatua hiyo, Musk, ambaye anaongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani (DOGE), aliandika kwa ufupi: "Ninakubaliana."

Rais wa Marekani, Donald Trump, na wabunge wa chama cha Republican wameahidi kutathmini upya ushiriki wa Washington katika UN na NATO.

Mnamo Februari, Seneta Mike Lee wa Utah aliwasilisha mswada wa DEFUND Act, unaopendekeza Marekani ijiondoe kabisa kutoka UN. Lee alikosoa Umoja wa Mataifa kama “jukwaa la madikteta” linalopinga Marekani na washirika wake, akisema licha ya ufadhili mkubwa, UN imeshindwa kuzuia vita, mauaji ya kimbari, ukiukwaji wa haki za binadamu, na majanga ya kiafya.

Nipashe

====

My Take
Sawa tuu ajitoe kwani lazima awepo? Dunia inakoelekea ni kutamu. Na chawa wake bwana Musk yeye Huwa ni kusema ndio Mzee tu.
Hapo my take umeandika ujinga na uchoko wa kipimbi yaani wewe ni pimbi. Inakuwaje UN iwepo ila watu wanaendelea kufa mfano mauaji ya Rwanda na Burundi, mauaji ya Congo etc. kwa ufupi UN na Nato ni vyombo vya maslahi na wala havina hicho wanachokimaanisha. Ni ujinga sana badala ya kufanya dunia kuwa sehemu salama UN au NATO hawajawahi simamia hilo. Wewe ona Israel na Palestine wanavyouana. Defund hiyo NATO na UN ili ife kabisa
 
Bilionea Elon Musk ameonyesha kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa katika Umoja wa Mataifa (UN) na Muungano wa Kijeshi wa NATO.

Akijibu chapisho la mtandaoni jana Jumapili lililohimiza hatua hiyo, Musk, ambaye anaongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani (DOGE), aliandika kwa ufupi: "Ninakubaliana."

Rais wa Marekani, Donald Trump, na wabunge wa chama cha Republican wameahidi kutathmini upya ushiriki wa Washington katika UN na NATO.

Mnamo Februari, Seneta Mike Lee wa Utah aliwasilisha mswada wa DEFUND Act, unaopendekeza Marekani ijiondoe kabisa kutoka UN. Lee alikosoa Umoja wa Mataifa kama “jukwaa la madikteta” linalopinga Marekani na washirika wake, akisema licha ya ufadhili mkubwa, UN imeshindwa kuzuia vita, mauaji ya kimbari, ukiukwaji wa haki za binadamu, na majanga ya kiafya.

Nipashe

====

My Take
Sawa tuu ajitoe kwani lazima awepo? Dunia inakoelekea ni kutamu. Na chawa wake bwana Musk yeye Huwa ni kusema ndio Mzee tu.
ajitoe tu,
 
Awamu zote mbili nilikuwa namshambikia Trump lkn tangu aanze figisu figisu zake dhidi ya Canada, Iceland na Ukraine nimeanza kumchukia huyu mzee,
Na sina uhakika km atamaliza muhula wake huu.
 
Ulitaka atende kazi zake bila ya wewe kumchukia ?!! Ha ha ha

Kwanini wewe mtanzania huna hakika wa yeye kumaliza muhula wake ?!!
 
Bilionea Elon Musk ameonyesha kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa katika Umoja wa Mataifa (UN) na Muungano wa Kijeshi wa NATO.

Akijibu chapisho la mtandaoni jana Jumapili lililohimiza hatua hiyo, Musk, ambaye anaongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani (DOGE), aliandika kwa ufupi: "Ninakubaliana."

Rais wa Marekani, Donald Trump, na wabunge wa chama cha Republican wameahidi kutathmini upya ushiriki wa Washington katika UN na NATO.

Mnamo Februari, Seneta Mike Lee wa Utah aliwasilisha mswada wa DEFUND Act, unaopendekeza Marekani ijiondoe kabisa kutoka UN. Lee alikosoa Umoja wa Mataifa kama “jukwaa la madikteta” linalopinga Marekani na washirika wake, akisema licha ya ufadhili mkubwa, UN imeshindwa kuzuia vita, mauaji ya kimbari, ukiukwaji wa haki za binadamu, na majanga ya kiafya.

Nipashe

====

My Take
Sawa tuu ajitoe kwani lazima awepo? Dunia inakoelekea ni kutamu. Na chawa wake bwana Musk yeye Huwa ni kusema ndio Mzee tu.
Your take is bullshit
, wake up and walk away from your shitshow dream.
The one you call chawa can feed you a whole decade
 
Back
Top Bottom