Trump anapanga Kujitoa UN na NATO

Trump anapanga Kujitoa UN na NATO

Kwa kigezo gani?
Wewe huvioni ?!!

Mwenyezi Mungu ameipatia dunia raslimali ili itufaidishe bila ya ubaguzi uliopitiliza......Trump anawakumbusha wanadamu kuwa thamani yao ni kubwa wapambane ili waithibitishe thamani yao ambayo HAIHODHIWI na binadamu wenzao.....

Trump anawaamsha waliolala....

#Hakika Trump ni mpango wa Mungu !
 
Trump anaipambania nchi yake ila anatakiwa kukumbushwa kwenye uongozi wa kitaifa kuna masuala ya itifaki na diplomasia
.....itifaki na diplomasia anaijua.....kupitia mawazo mapya ya Rais Trump, vitabu na miongozo mipya ya DIPLOMASIA NA ITIFAKI vitaandikwa na kufundishwa...

#Maisha si kukariri tu !!
 
Trump yy anacho angalia US kwanza na maslahi ya taifa, maswala ya diplomasia huku ya kiipa hasara nchi yake hataki kuyasikia. Ila NATO watajifunza na sasa ndio wanaelewa kwa nini US haina rafiki wala adui wa kudumu.
 
Soon dunia itaenda kuwa the world against US.
Europe wataanza shirikiana na Mchina dhidi ya US miaka ya mbele.
Siku zote kesho huwa haijulikani....

.... ikitokea huo uchina kuwa pamoja na EU dhidi ya U.S ndipo hapo kizazi kitakachoshuhudia hayo kitamaizi kuwa mababu zao(sisi na waliopita) hatukujua thamani yetu ya KUWEPO HAPA DUNIANI......

#Trump ni mpango wa Mwenyezi Mungu !
 
Trump yy anacho angalia US kwanza na maslahi ya taifa, maswala ya diplomasia huku ya kiipa hasara nchi yake hataki kuyasikia. Ila NATO watajifunza na sasa ndio wanaelewa kwa nini US haina rafiki wala adui wa kudumu.
....sera ya kutokuwa na rafiki na adui wa kudumu ndio sera ya KIUCHAMUNGU zaidi....

#Trump ni mpango wa Mwenyezi Mungu !
 
.....itifaki na diplomasia anaijua.....kupitia mawazo mapya ya Rais Trump, vitabu na miongozo mipya ya DIPLOMASIA NA ITIFAKI vitaandikwa na kufundishwa...

#Maisha si kukariri tu !!
Miongozo mipya ya diplomasia itakayoandikwa ndio yale majibizano na Zelensky?. Marais wanajibizana kama mashabiki wa mpira kibanda umiza. Trump anatakiwa kupigwa msasa kwenye masuala ya itifaki na diplomasia
 
Kilichotokea pale huwa kinatokea behind the camera na kama umewasikiliza ni kwamba Zelensky yale mambo hakupaswa kuyajadili pale ilibidi wakayajadili nyuma ya camera pale ilikuwa wameita waandishi wa habari tu kuwambia kuwa wanaenda kusign mktaba.
Inaelekea bwana Zele walikuwa wanachoongea nyuma wakitoka wanasema vingine akaamua awaulize mbele ya camera wayaseme mbele ya camera.
Trump huo msasa anampiga nani sasa wakati JD Vence mwenyewe naye kama yeye tu anaongea kile anachokiamini bila ku sugar coat. Aliwapiga spana kwenye kutano wa EU.
Siasa zinabadilika kabisa kama ambavyo mambo yalibadilika baada ya vita ya pili ya dunia, nahisi tunaelekea kwenye mabadiliko makubwa sasa.
 
Wewe huvioni ?!!

Mwenyezi Mungu ameipatia dunia raslimali ili itufaidishe bila ya ubaguzi uliopitiliza......Trump anawakumbusha wanadamu kuwa thamani yao ni kubwa wapambane ili waithibitishe thamani yao ambayo HAIHODHIWI na binadamu wenzao.....

Trump anawaamsha waliolala....

#Hakika Trump ni mpango wa Mungu !
Una hoja mkuu.
 
Back
Top Bottom