Trump anapanga Kujitoa UN na NATO

Trump anapanga Kujitoa UN na NATO

Kama mnashindwa hata kufadhili matumizi ya taasisi yenu wenyewe, mkiletewa UN mtaweza kweli?
Makao Makuu kuletwa Afrika hainamaana kwamba sisi ndio tuchangie zaidi ninachoongelea ni Location na tutafanya Biashara za kupokea wageni viongozi wa Dunia.

Binadamu wote wametokea Afrika kwanini UN ambayo maana yake ni umoja au muungano wa mataifa ya dunia makao makuu yake yasiwe Afrika.
 
Ni kweli kabisa! Congo wanauana wakati Munuscu ipo kabisa! Sudan watu wanauana na UN inaangalia,mashariki ya kati ndiyo usiseme!
Binafsi sijaona umuhimu wa UN.
 
My Take
Sawa tuu ajitoe kwani lazima awepo? Dunia inakoelekea ni kutamu 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGuymp8Aoz8/?igsh=MWZ5N2NvbDZsdnA0eQ==

My Take
Na chawa wake bwana Musk yeye Huwa ni kusema ndio Mzee tuu 😆😆

Kila sekunde iendayo inazidi kuniongezea mapenzi makubwa kwa taifa langu JMT....nje huko hatuna wajomba....ninawashangaa vyama vya upinzani Tanzania kuhangaika kutusemea kwa wajomba....ha ha ha ha
Tanzania iendelee kusimamia mambo ya maslahi yake kwani mh.Rais Trump anatutia KIBURI cha kila mtu asimamie lake/chake bila ya KUTETEREKA na bila ya kumuogopa yeyote na chochote kile.....

*Trump ni mpango wa Mwenyezi Mungu !
*********************
#Tanzania is a sovereign nation!

#Twende na Samia 2025 !!
 
Nawe bila kumtaja haulali...

Makonda oyeeeeee
Mtu anayetajwa hadharani na Tundu Lissu kuwa ndie aliyehusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu ndiye awe anawakarubisha Viongozi wa DUNIA?!

Ni kuliaibisha Taifa hili teule.
 
Back
Top Bottom