Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
.... inawezekana ikaandikwa hivyo....kwa majibizano yale kuwa "case study"....Miongozo mipya ya diplomasia itakayoandikwa ndio yale majibizano na Zelensky?. Marais wanajibizana kama mashabiki wa mpira kibanda umiza. Trump anatakiwa kupigwa msasa kwenye masuala ya itifaki na diplomasia
Maisha ni mapana zaidi ya yanayoandikwa vitabuni.....