Trump anapanga Kujitoa UN na NATO

Unaelewa maana ya hasara au inavyopatikana?
Sasa mimi nikielewa then what? Trump kaitoa WHO sababu kaona hamna faida anapoteza hela na hivyo anataka kuitoa UN au humsikiagi Trump?
 
Trump ni egoist mwenye madaraka na umaarufu, kuwa kwake yupo juu muda huu hakuondoi ukweli wowote wenye kuyahusu maisha yake mpaka kufikisha miaka 79.

Msikilize Tom Bolton aliyekuwa kwenye baraza lake la mawaziri namna anavyomuongelea jinsi anavyoiharibu foreign policy ya USA.

Tatizo letu wabongo ni kuziamini hizi habari za whatsapp na kuingia kwenye ushabiki maandazi wa siasa za kidunia.
 
25% ya bajeti ya tanzania inategemea misaada ya wazungu, wakikata misaada tutaishi vipi?
 
Sasa kama zelensky hakutaka kusaini mkataba alienda marekani kufanya nini?
 
In political critics ,one can say anything against the opponent.....

Migongano ya mawazo ndio maendeleo yenyewe....tunampangiaje Trump cha kufanya?!!

Tunataka tuzifahamu fikra za watu 💯 p ili tuwe na "comfort zone" kidiplomasia?!!

Ninadhani ubora wa fikra katika diplomasia ni kufungua mabano ya watu wasiotabirika ....

Its high time for african nations to invest hugely in the new ways of diplomatic paths to untangle the unpredictable world.....
 
Sasa kama zelensky hakutaka kusaini mkataba alienda marekani kufanya nini?
Alikwenda kusaini mkataba mkubwa zaidi, wao wakatanguliza akili za kibiashara wakataka asaini mkataba wa madini muda huu nchi yake ikiwa na vita kubwa dhidi ya Russia, ambao ungeitia utumwani Ukraine kwa miaka mingi ijayo.
 
New York ilikuwa inafanya biashara sana wakati wa vikao vya UNGA na mahoteli yalikuwa yakiingiza fedha nyingi sasa watu wa New York watakuwa wamepoteza biashara aisee hivi huyu Trump bado anafanya biashara za Hoteli?
Yaani USA itegemee pesa za kwenye vikao 🤣🤣v
 
Arusha haina hadhi labda yaamishiwe Kigali
Kwa Tanzania Arusha ndio kitovu Cha office za kimataifa ,dar ni jiji la kibiashara mikoa mingine yote ni wasindikizaji
 
Hata kama hatuelewi sana lakini nani anaweza kunambia hasa kazi za UN kwenye modern world? Nini walikikataa au kukiunga mkono na dunia ikafata, nini/kipi? Same as AU na yenyewe ni kijiwe cha wazee cha kwenda kupigia story na kuondoa stress zao ndogo ndogo, hivyo vyombo havina TIJA yoyote kwa sasa; BTW is American ndio mfadhili wa UN, better him leave ili na wengine nao waondoke
 
Kwa Tanzania Arusha ndio kitovu Cha office za kimataifa ,dar ni jiji la kibiashara mikoa mingine yote ni wasindikizaji
Dar jiji au kichaka kilichochangamka😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…