Trump anataka apewe madini ili aihakikishie Ukraine ulinzi wa aina gani?

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,593
Reaction score
6,754
US wanataka kumkimbia Mrusi Ukraine kijanjatu.

Wakubali tu wamemshindwa Putin bas, nasio kutafuta visingizio vya kupewa madini ndio waweke ulinzi.

Tramp hata akipewa madini, atamzuia putin kuishambulia Ukraine kwanjia gani, kijeshi ama atawezeshe mazungumzo ya amani?.

Nakama alivyoulizwa na waandishi wa habari kwamba Putin akikataa huompangowake wa amani atamfanya nini.

Kama hajui atamfanya nini kwanini Zelensk asaini madini yachimbwe wakati hajui kama mpango wa amani utafanikiwa kiasigani na utahusisha vitugani.

Kwamfano Zelensk akikubali madini yachimbwe alafu kwenye mpango wa amani Putin akikataa kurudisha maeneo aliyoyateka wakati wavita itakuwaje, yani maanayake madini na kipande cha nchi vitakuwa vimekwenda.

Zelensk anauzalendo apewe mauwayake.

Bora afekishujaa kuliko kuburuzwa kama juha.

Tramp alishasema kwamba yeye tu ndio anaweza kuwafanya wasitishe mapigano maramoja kwasababu wanamuheshimu.

Sasa Zelensk amemdharau, amuite Putin ampe maelekezo tuone.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine wamepewa misaada ya dola bilioni 350 kutoka kwenye kodi za wamarekani

Madini yana thamani ya dola bilioni 500, ukiondoa gharama za uwekezaji, mitambo, teknolojia, n.k. Marekani inaweza ambulia dola bilioni 400, shida iko wapi ?
Zelensk amekataa hiyo figure, amesema hajapokea kiasi kamahicho, ametaja kiasi cha dola bilioni 140 hivi kama sijakosea.

Alafu kwani wakati wanampa hizo pesa walimuambia kwamba nimkopo?.

Kama walikubaliana kwamba wanamkopesha then nisawa,lakini kama walimpatu kwaajili ya kumsaidia kujilinda waache roho mbaya na tamaa.

Nakama haikuwa mkopo maanayake wanataka kulazimisha makubaliano ya kihuni.

Wangemuambia mwanzo kwamba wanamkopesha angeweza kuwa na option ya makubaliano ya namna watakavyo lipa na njia zitakazo tumika kulipia huomkopo ambazo hazitakuwa na hasara kubwa kwa Ukraine.

Hataivyo Tramp anakomalia dili la madini tu na kuhubiri mpango wa amani na hataki mapigano, lakini hajatoa maelezo yaliyo nyooka kwa upande wa Russia kwamba wakikaidi huompango wa amani anaohubiri atawafanya nini.

Issue ni kulipia gharama za vita.... Ukraine alipewa mkopo sasa anatakiwa kulipa, kwakua hana hela basi mali za Ukraine zitatumika kufidia, Ila wa kumzuia Putin hakuna
Zelensk kukataa kusain maanayake hakukuwa na makubaliano kabla.

Nakama hakuna wakumzuiya Putin then Tramp nimuongo anaposema yeye anauwezo wa kufix amani maramoja.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Zelensk kukataa kusain maanayake hakukuwa na makubaliano kabla.

Nakama hakuna wakumzuiya Putin then Tramp nimuongo anaposema yeye anauwezo wa kufix amani maramoja.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Trump atakubaliana na Putin wamalize vita, kisha wachimbe madini ya Ukraine ili kufidia gharama za vita....Kumbuka hii vita ni kati ya USA Na Russia
 
Trump ni mhuni tu yule haaminiki, ni bora zelensky akomae hivyo hivyo maana kwa kinachoonekana wanataka kuiingiza Ukrain choo cha kike,maana mbona hawataki kumuhusha Ukraine katika meza ya makubaliano ila Trump na jamaa yake
 
Hakuna Cha Bure,hizo ni kodi wanazokamuliwa wamarekani.Biden hakumueleza vizuri tu,350bill dollar ni mkopo na USA hufanya hvyo popote duniani anapoweka zana za kivita.
Zelesky ajiandae tu kulipa maana wanaweza hata kumpoteza,since ndo wao wanamlinda na ku-control ulinzi wa viongozi wenzake ndani ya Ukraine.
 
Kumpoteza sio ishu sababu kilamtu atapotea,swala ni umepotea/potezwa kwa sababu gani Ili watuwaliobaki wajifunzekitu.

Nibora wampoteze kuliko kumfanya amjinga.

US waliwezaje kumpa pesazote hizo bilakujua watakavyo zirudisha kwanza.

Zelensk amekuwa smart zaidiyao ndiomana anataka kujua kuhusu security guarantee kwanza kabla hajasaini.

Amewaambia wazi kusaini hayomakaratasi nimwanzomzuri lakini kwanza waanze na udhibitisho wa ulinzi jinsi utakavyokuwa kwasababu Putin anauwezo wakukataa mpango wa amani kama alivyo kataa mara 25 hapo kabla.

Tramp anasema the dill must be done first!.
Yani anataka nayeye awekama wao walivyo toa izopesa unaziita mkopo bila kujua zitakavyo rudi nayeye akubali kusaini bilakujua structure ya mpango wa amani utakavyokuwa.

Kuna uhuni unataka kufanyika kwenye hilo dili ndiomaana moto umewaka.

Mkuu mpongeze Zelensk, nishujaa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Trump ni mhuni tu yule haaminiki, ni bora zelensky akomae hivyo hivyo maana kwa kinachoonekana wanataka kuiingiza Ukrain choo cha kike,maana mbona hawataki kumuhusha Ukraine katika meza ya makubaliano ila Trump na jamaa yake
Kabisa, Tramp anasema ameongea na Putin lakini hasemi waliongea nini.
Wamemuweka Zelensk live dunianzima inamuona, nainashuhudia majadiliano yote wakati Putin wameongea nae kwa siri.

Tramp angeweka hata record yamazungumzoyake pale ilitujue walikubaliananini.

Kwasababu hakuna mtu alieshuhudia majadiliano ya Tramp na Putin, nani anajua labda Putin amempa Tramp shariti la kuongea live na Zelensk iliajue wanaongea nini alafu ndio wafanye dili la kusimamisha vita.

Tramp na JD ni wahuni.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine wamepewa misaada ya dola bilioni 350 kutoka kwenye kodi za wamarekani

Madini yana thamani ya dola bilioni 500, ukiondoa gharama za uwekezaji, mitambo, teknolojia, n.k. Marekani inaweza ambulia dola bilioni 400, shida iko wapi ?
Umeelewa kweli alichoandika mtoa mada?
 
Putin hato kataa coz walishaongea na huyo chizi mwenzake,wanachotaka kukifanya hapo Trump na Putin ni kugawana Ngawila
 
Zele angesain kwanza hicho kishika uchumba..

Opt nyingine n zele kuongea na putin russia walipe hilo deni russia waichukue ukreine yote wale ndugu..
 
Kumpoteza sio ishu sababu kilamtu atapotea,swala ni umepotea/potezwa kwa sababu gani Ili watuwaliobaki wajifunzekitu.

Nibora wampoteze kuliko kumfanya amjinga.

US waliwezaje kumpa pesazote hizo bilakujua watakavyo zirudisha kwanza.

Zelensk amekuwa smart zaidiyao ndiomana anataka kujua kuhusu security guarantee kwanza kabla hajasaini.

Amewaambia wazi kusaini hayomakaratasi nimwanzomzuri lakini kwanza waanze na udhibitisho wa ulinzi jinsi utakavyokuwa kwasababu Putin anauwezo wakukataa mpango wa amani kama alivyo kataa mara 25 hapo kabla.

Tramp anasema the dill must be done first!.
Yani anataka nayeye awekama wao walivyo toa izopesa unaziita mkopo bila kujua zitakavyo rudi nayeye akubali kusaini bilakujua structure ya mpango wa amani utakavyokuwa.

Kuna uhuni unataka kufanyika kwenye hilo dili ndiomaana moto umewaka.

Mkuu mpongeze Zelensk, nishujaa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Deni linahusiana vipi na hakikisho la Usalama mkuu?
Trump anataka Ukraine ilipe deni na Zelenskyy yeye anataka kabla ya kulipa deni ahakikishiwe usalama sasa haya mambo yana ingilianaje?
Yeye kama anataka hakikisho kutoka kwa Marekani aweke dau lingine nje ya hili la kulipa deni.
 
Zelensk amekataa hiyo figure, amesema hajapokea kiasi kamahicho, ametaja kiasi cha dola bilioni 140 hivi kama sijakosea.

Alafu kwani wakati wanampa hizo pesa walimuambia kwamba nimkopo?.

Kama walikubaliana kwamba wanamkopesha then nisawa,lakini kama walimpatu kwaajili ya kumsaidia kujilinda waache roho mbaya na tamaa.

Nakama haikuwa mkopo maanayake wanataka kulazimisha makubaliano ya kihuni.

Wangemuambia mwanzo kwamba wanamkopesha angeweza kuwa na option ya makubaliano ya namna watakavyo lipa na njia zitakazo tumika kulipia huomkopo ambazo hazitakuwa na hasara kubwa kwa Ukraine.

Hataivyo Tramp anakomalia dili la madini tu na kuhubiri mpango wa amani na hataki mapigano, lakini hajatoa maelezo yaliyo nyooka kwa upande wa Russia kwamba wakikaidi huompango wa amani anaohubiri atawafanya nini.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
There is no free lunch.
 
1. Truump anamuona Zele kuwa ni mzembe cos angeweza kuzuia hii vita yake isitokee ila alikaza fuvu.

2. Trump anatambua na kuiheshimu Russia kama nchi zenye uwezo mkubwa wa kijeshi na anajua gharama za kumkabili kijeshi Urusi ni basi ni WW3 lakini ata hivyo anaamini kuwa Urusi ilichokozwa na hakuna ambae hakuwa anajua kama Russia itaipiga Ukraine.

3. Trump hawezi kutia msaada ya kijeshi tena wala wa kiinterejensia kwa Ukraine cos kilo kilichotoka mwanzo kipaswa kurudi Marekani.

4. Trump hataki kabisa masuala ya kumuhakikishia usalama Ukraine cos kufanya hivo itampasa Ukraine aingie NATO kitu ambacho kamwe hakiwezi kutokea otherwise lazima Marekani haingie vitani na Urusi na mshinde Mrusi.
 
Kabisa, Tramp anasema ameongea na Putin lakini hasemi waliongea nini.
Wamemuweka Zelensk live dunianzima inamuona, nainashuhudia majadiliano yote wakati Putin wameongea nae kwa siri.

Tramp angeweka hata record yamazungumzoyake pale ilitujue walikubaliananini.

Kwasababu hakuna mtu alieshuhudia majadiliano ya Tramp na Putin, nani anajua labda Putin amempa Tramp shariti la kuongea live na Zelensk iliajue wanaongea nini alafu ndio wafanye dili la kusimamisha vita.

Tramp na JD ni wahuni.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
PUTIN alikataa mpango wa Tramp pale Saudia Arabia !!

ndio mkwamo upo apo Tramp alimpa offer nyingi PUTIN lkn mzee mzima Amegoma anataka Vita!!!

iyendelee Sababu RUSSIA inavitu vingi inataka kuakikishiwa kwanza ndio isimamishe Vita !!

Ona Faida izi zitampotea RUSSIA akikubali Vita Isimame kwasasa RUSSIA ina Shambulia popote ndani ya Ukraine ikiona Dalili sio nzuli !!!!!

Watu wanajikusanya Silaha Zinapelekwa zinafichwa Seem Viwanda vya Silaha Vinajengwa pale na pale kwa kificho !!!

Unaweza Linda Usalama wako Vizuli,, ukikubali Vita Isimame kuna Hatari nyingi ikiwemo Majesh ya NATO KUJIDAI WANAENDA LINDA AMAN !!!

ndio wanajikita apo WAZUNGU AKILI awana Wakishajipanga Upya Wanakuchokoza tena!!!!!!!!

Si tunakumbuka Ivi Vita Viliwai Simama kwenye Mkataba wa MINSK lkn Wazungu Walijitafuta Wakajipata Waakaanza tena Ukolofi!!!

kwasasa RUSSIA ataki tena Aman Ya mitego Anachotaka kuzuiya Kujipanga Upya WAZUNGU !!!

Kila akiwaona engo yoyote ndani ya Ukraine yeye anapitanao adi UKRAINE itashanda kama GEORGIA TU. !!!

Wananchi WATAKOMA awatokuja kudai Ushuzi wa kujiunga na ULAYA au NATO. adi kije kizaz kipya miaka 40 mbele ndio watakuwa Awaelewi kivitendo wazee wao Walipitia yapi pengine ndio Waanze chokochoko!!!!!!¿¿¿¿¿..
 
Back
Top Bottom