Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
US wanataka kumkimbia Mrusi Ukraine kijanjatu.
Wakubali tu wamemshindwa Putin bas, nasio kutafuta visingizio vya kupewa madini ndio waweke ulinzi.
Tramp hata akipewa madini, atamzuia putin kuishambulia Ukraine kwanjia gani, kijeshi ama atawezeshe mazungumzo ya amani?.
Nakama alivyoulizwa na waandishi wa habari kwamba Putin akikataa huompangowake wa amani atamfanya nini.
Kama hajui atamfanya nini kwanini Zelensk asaini madini yachimbwe wakati hajui kama mpango wa amani utafanikiwa kiasigani na utahusisha vitugani.
Kwamfano Zelensk akikubali madini yachimbwe alafu kwenye mpango wa amani Putin akikataa kurudisha maeneo aliyoyateka wakati wavita itakuwaje, yani maanayake madini na kipande cha nchi vitakuwa vimekwenda.
Zelensk anauzalendo apewe mauwayake.
Bora afekishujaa kuliko kuburuzwa kama juha.
Tramp alishasema kwamba yeye tu ndio anaweza kuwafanya wasitishe mapigano maramoja kwasababu wanamuheshimu.
Sasa Zelensk amemdharau, amuite Putin ampe maelekezo tuone.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app