Mwenzio amesoma mkuu atapata kazi nzuri tu hutasahau! Na huu ujinga wako sasa hivi hapa jukwaani anausoma! Halafu hii tabia ya kutuambia sisi ni mawifi wa mkeo umeitoa wapi?Atakuwa amejifunza vya kutosha na nitakachofanya muda huu ni kumpa mimba faster faster wale wawili tuliokuwa nae awe na wanne kabisa achakae kiasi fulani akili imkae sawa na ajue umuhimu wa mwanaume duniani sitaki ujinga tena ujirudie
Kwamba mm sijasoma au vp, kwanza aliyekwambia kasoma kunizidi mm ni nani? kama anasoma ujumbe huu ndio vizuri maana anasoma na michango positive ya wachangiaji wengine abadilikeMwenzio amesoma mkuu atapata kazi nzuri tu hutasahau! Na huu ujinga wako sasa hivi hapa jukwaani anausoma!
Ila mkuu hilo boss lililokuwa linamfumua huko kazini litakuwa lilikuwa linafaudu sana!Kwamba mm sijasoma au vp, kwanza aliyekwambia kasoma kunizidi mm ni nani? kama anasoma ujumbe huu ndio vizuri maana anasoma na michango positive ya wachangiaji wengine abadilike
Mimi sijui mkuu kama kuna boss alikuwa anamkula au vp siwezi kulisemea ila ninavyokwambia alikuwa kiburi na jeuri snIla mkuu hilo boss lililokuwa linamfumua huko kazini litakuwa lilikuwa linafaudu sana!
Inawezekana umeungaunga mkuu ndiyo maana una ka mshahara ka digit 6! Lakini mkuu usije matumaini sana maana Trump hana ubavu wa kuiua USAID!Kwamba mm sijasoma au vp, kwanza aliyekwambia kasoma kunizidi mm ni nani? kama anasoma ujumbe huu ndio vizuri maana anasoma na michango positive ya wachangiaji wengine abadilike
Miaka 4 ya kushusha injini za kutoshaSasa baada ya miaka minne hali itarudi kuwa vile vile
Mzalishe tena kufidia machunguMimi sijui mkuu kama kuna boss alikuwa anamkula au vp siwezi kulisemea ila ninavyokwambia alikuwa kiburi na jeuri sn
No elimu yangu inamzidi kwa mbali sn yy sema impacts za glabalization za kumuinua mwanamke ndio unakutq wao wanapata upendeleo snInawezekana umeungaunga mkuu ndiyo maana una ka mshahara ka digit 6
Kama bado anazaa sasa lipiza huko mkuu hakikisha anashusha kila mwaka! Ila USAID ni wataalam wa uzazi wa mpango sijui kama utamweza!No elimu yangu inamzidi kwa mbali sn yy sema impacts za glabalization za kumuinua mwanamke ndio unakutq wao wanapata upendeleo sn
Itumie hii nafasi kumpa makavu yake sasaPicha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.
Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.
Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,
Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.
Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi
Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.
Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,
Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.
kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.
God bless America, God bless donald trump.
Sasa hv me najipakulia tu minyama kusema ukweli sikuwahi kumfaidi wifi yenu kipindi chote nikiwa jobless na yy akiwa job, angalau sasa hv ile taste ya ndoa naiona, heshima fulani hv ya baba wa nyumba inakuja.Itumie hii nafasi kumpa makavu yake sasa
Ndoto za abunuwasiPicha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.
Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.
Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,
Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.
Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi
Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.
Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,
Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.
kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.
God bless America, God bless donald trump.
AiseeeMungu hamtupi mja wake angalau sasa narudi na mkate nyumbani, njia ya kuelekea msalani haioti majani
wePicha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.

Hiyo tabia ya kuwaambia wanaume WIFI YENU umeitoa wapi?Sasa hv me najipakulia tu minyama kusema ukweli sikuwahi kumfaidi wifi yenu kipindi chote nikiwa jobless na yy akiwa job, angalau sasa hv ile taste ya ndoa naiona, heshima fulani hv ya baba wa nyumba inakuja.
Kweli trump amejua kuniheshimisha
Ndio hivyo mkuu maisha hayapo sawa wkt wote kupanda namkushuka ni jambo la kawaida kikubwa ni kuwa mvumilivu wkt wa msotoWewe unaanza kua na furaha kuna njemba huko nazo zinaanza kupitia maumivu yale uliyokua ukipitia wewe.