Trump aokoa na kuirudisha ndoa yangu kwenye mstari

Sasa utamudu kuendesha familia kwa kipato chako pekee ?
Nutamudu tu mkuu, way back kabla magu hajafanya uharibifu na kabla yeye kuwa wakala wa USAID mm ndio nilikuwa naleta mkate mkuu na amani ilikuwepo nyumbani, kwahiyo sioni shida wkt huu kikubwa heshima iwepo tu, sema nn naye awe mvumilivu tu vi matukio vya hapa na pale ajiandae kukabiliana navyo kwani wkt ananipitisha msotoni kuna wenzake nje huko walikuwa wananionea huruma, so goes around comes around
 
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.

Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.

Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,

Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.

Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi

Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.

Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,

Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.

kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.

God bless America, God bless donald trump.
Hahaha eti God bless America
 
Dah unafurahia mkeo ubavu wa kushoto wa kufa na kuzikana kupoteza kazi?? Haiko sawa mzee kuna sehemu unapwaya kwenye mamlaka yako ya ki mume humo ndani. Ilitakiwa udhibiti hizo dharau tangu uko jobless, wewe unatia yeye anatiwa..act like mtiaji basi
 
Hayo ni maoni yako tu mkuu, kitanda usichokilalia hujui kunguni wake
 
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.

Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.

Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,

Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.

Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi

Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.

Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,

Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.

kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.

God bless America, God bless donald trump.
[emoji3516]
TATEPA.
 
Inatakiwa Uipige Sanaa mpaka Trump Akiondoka Ana Mzigo wa Watoto ili Awe na Adabu Maan Kila akifikilia Ujeuri Akumbuke Kulea tuu na Sio watoto 2 Piga 4 yani Kila mwaka Mtoto mpak Trump anatoka Madalakani Una Wanne Akirud kazin Anakuwa na Adabu
 
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.

Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.

Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,

Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.

Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi

Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.

Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,

Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.

kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.

God bless America, God bless donald trump.
Make America great again
 
Wachungaji wakiwa wanafungisha ndoa wawaambie wazi kabisa wanawake wakipata hela wasiwe jeuri kwenye ndoa zao kuna kupanda na kushuka
Wanasema lakini katika maneno tofauti kwa maana ile ile.
"Pendaneni katika shida na raha...
 
Back
Top Bottom