Trump aokoa na kuirudisha ndoa yangu kwenye mstari

Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.

Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.

Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,

Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.

Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi

Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.

Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,

Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.

kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.

God bless America, God bless donald trump.
Hiyo na fananisha na siku wale vichwa ngumu watakapo angukia pua.Naona itakavyokuwa fullsherehe.
 
Atakuwa amejifunza vya kutosha na nitakachofanya muda huu ni kumpa mimba faster faster wale wawili tuliokuwa nae awe na wanne kabisa achakae kiasi fulani akili imkae sawa na ajue umuhimu wa mwanaume duniani sitaki ujinga tena ujirudie
Kuhusu kujifunza, sahau kwa hao viumbe. Akipata shavu jengine tu hapo anakuwa kule yule wa USAID
 
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.

Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.

Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,

Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.

Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi

Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.

Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,

Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.

kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.

God bless America, God bless donald trump.
Mimi ningekuwa nimeshaachana nae. Heshima ya kukonyeza kama saa ya kimulimuli siihitaji. Kuna heshima na kuna usanii. 🤣
 
Unasikilizia part two au siyo?🤣
Kabadilika kiasi fulani anaweza kuwa mwema may b ngoja nimpe nafasi nyingine, pia kumbuka ni mke huyu sio kimada kwamba naweza kufanya tu maamuzi kwa kurudisha kisasi,

Kama kumpiga chini ningempiga kipindi kile na mimi nimejipata lkn labda mungu alitaka jambo huyu wifi yenu aje ashuhudie huku mbele na ajifunze.
 
Humu

Mkeo anamtii mwenye pesa. Leo unamshukuru Trump kesho utamlaani lijamaa flani hivi lenye fedha za kuchezea kwa kutokujali njia asili ya kupita na kupita anapojisikia sababu ya pesa zake zinazopendwa sana na mkeo.
 
Kabadilika kiasi fulani anaweza kuwa mwema may b ngoja nimpe nafasi nyingine, pia kumbuka ni mke huyu sio kimada kwamba naweza kufanya tu maamuzi kwa kurudisha kisasi,

Kama kumpiga chini ningempiga kipindi kile na mimi nimejipata lkn labda mungu alitaka jambo huyu wifi yenu aje ashuhudie huku mbele na ajifunze.
Kama wa kujifunza atajitunza
 
Back
Top Bottom