Trump aokoa na kuirudisha ndoa yangu kwenye mstari

Trump aokoa na kuirudisha ndoa yangu kwenye mstari

Mkeo anamtii mwenye pesa. Leo unamshukuru Trump kesho utamlaani lijamaa flani hivi lenye fedha za kuchezea kwa kutokujali njia asili ya kupita na kupita anapojisikia sababu ya pesa zake zinazopendwa sana na mkeo.
Sijui bhana lkn most women wapo hivyo mkuu.
 
Kama hujawahi kuishi na mke anayecheza mchezo wa laki 7 kwa mwezi na bado anabadilisha mawigi na kucha kila weekend na shopping kila baada ya week 2 bila kukutegemea wewe hapo bado hujasema. Mbaya zaidi uwe unaishi nae na huna mchongo unaweza kufa kwa stress.

Mwanamke wa kibongo akimudu kushika million 2 yake tu kila mwezi ndoa lazma iwe inamtetemo wa hatari. Hapo ni roho mtakatifu awe ndani yake kuepusha kiburi na dharau kali juu ya mume.
Milioni 2?. Laki 3 tatu Mkuu. Nilikonda nikawa Modo. Lakini Mungu alijua kunifurahisha. Now napambana kumaintain uzito usiwe offside🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe jamaa!

Ulimuomba mungu msamaha Kwa kuanzisha uhusiano na mtu asie sahihi!!?

Huna ndoa mkuu!ilivunjika kipindi unanyimwa unyumba !nakuibia siri!Mwanamke akikunyima unyumba tu Ndoa imevunjika hapo hapo!haihitaji talaka ya mahakama!

HUYO SIO MKEO ,ULICHUKUA MKE WA MTU!OA TENA IKIBIDI!HUYO SIO MKEO!USIJIPE MATUMAINI YEYOTE COZ MAISHA NI MILIMA NA MABONDE!ATAKUJA TENA KUKUTESA KWA MARA NYINGINE KWA SASA AMEKUA SLEEPING GIANT!!
Huyu matumaini ndiyo yanamweka mjini. Na anaonekana kuenjoy maisha ya wishful thinking. Eti anawish mkewe atabadilika(amejifunza)🤣
 
Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo.

Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji yenu anavyonibagaza na kuninyanyasa ikiwemo kuninyima tunda la rohoni kwakuwa tu nilikuwa jobless, nilielezea jinsi punde tu magu alivyoingia madarakani watu wengi walipoteza ajira nikiwemo mimi, kama kuna mwenye uzi ule aushushe ausindikize na huu.

Basi kipindi kile kwa shemeji yenu hakuna rangi niliiacha kuiona alinibagaza vya kutosha ilifikia kipindi hadi nguo zake za ndani namfulia ili tu kiumarisha upendo baina yetu lkn aliniona kama ng'ombe asiye na faida,


Kuhusu tunda la rohoni nilikuwa napimiwa kwenye kibaba tena mpaka ajisikie ilikuwa ni kawaida mwezi kupita bila ya viungo vyetu vya uzazi kukutana jambo ambalo lilinifanya niwe mfuasi wa dondrake kwa kujichukulia sheria mkononi, kimsingi niliteseka na kugugumia maumivu na sikuwa na la kufanya.

Wengi mlinikejeri kwa kunitupia lawama kwamba nitoke hapo nyumbani nikimbie, nikatafute kazi kwengine, nichome mahindi, nishone viatu basi ilimradi tu watu wakutoe kwenye reli bila kujari hali ngumu niliyokuwa napitia, lkn wkt wote huo still wifi yenu alikuwa kiburi na mkaidi

Kitambo kidogo kilipita mungu sio athumani mrume ni ka procure job somewhere mchongo ukatiki japo salary yangu ilikuwa inasoma six figure na wa kwake ukisoma 7 figure lkn angalau kwa mbali heshima ilikuwa inakuja na kupotea hivyo hivyo mradi siku zinasogea.

Sasa basi hivi karibuni naona wifi yenu amebadilika mno na utii umerejea ndani ya nyumba na mbususu napewa tena hata bila kuomba, na hii inafuatiwa baada ya rais wa marekani Donald trump kusitisha shuhuli zote za shirika hilo ulimwenguni, japo bado anaenda job lkn najua tayari red alert imeshatoa ishara kwamba sooner or later wifi yenu anaenda kuwa jobless,

Siwafichi kabadilika sn wifi yenu amekuwa mtiifu, anawahi kurudi, jambo hata kama nimemkosea yeye ndio ananiomba msamaha na kubwa zaidi mbususu sipimiwi tena kwenye kibaba napewa bila shuruti.

kimsingi namshukuru sn donald trump kwa kurejesha amani na utulivu kwenye ndoa yangu, najua wapo makumi elfu kama mm ndoa zao zinaenda kurudi kama zamani.

God bless America, God bless donald trump.
Jiandae kumsindikiza kliniki. Hata ukiwa baba mlezi sio mbaya
 
Alikuwa analishwa ndio maana akawa anafulishwa hadi vyupi na kunyimwa mbunye😂,,,Wanawake ni viumbe hatari sana kipindi ukiwa unatubu wanaweza kukufanya kama dekio tu. Usiombe uwe unasota na mke ana mishe zake.
Daa Mungu asitufanye tuwe hivyo
Umasikini ni Laana jamani
 
Kama hujawahi kuishi na mke anayecheza mchezo wa laki 7 kwa mwezi na bado anabadilisha mawigi na kucha kila weekend na shopping kila baada ya week 2 bila kukutegemea wewe hapo bado hujasema. Mbaya zaidi uwe unaishi nae na huna mchongo unaweza kufa kwa stress.

Mwanamke wa kibongo akimudu kushika million 2 yake tu kila mwezi ndoa lazma iwe inamtetemo wa hatari. Hapo ni roho mtakatifu awe ndani yake kuepusha kiburi na dharau kali juu ya mume.
Sikupingi Mkuu, apo ni mwendo wa kulazwa sebuleni au kwa watoto kwa kosa lolote imradi kisirani, unaweza kukohoa tu akasema unamharibia bed rest yake kesho ana seminar Bagamoyo ya wiki 1... ni muhaho wa hatari! Afadhali my wangu anapokea laki 6 yake. Mwanzo wa mwaka alipata offer mkoani ya maslahi sana nikaona ohooo naenda kuchapiwa nilipiga biti akisepa tu naongeza wife akaamua kusizi.
 
Back
Top Bottom