Trump aomba msaada kwa mataifa waungane kupigana na Iran kupita Homuz, mataifa nengi yamekataa

Trump aomba msaada kwa mataifa waungane kupigana na Iran kupita Homuz, mataifa nengi yamekataa

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Trump anataka mataifa yaungane washirikiane na Marekani kupeleka majeshi Iran wakapigane kupita mlango wa Homuz
Japan imekuwa ya kwanza kukutaaa.

Trump alianzisha vita ambavyo sehemu kubwa ya dunia ilikuwa dhidi yake, na sasa anaomba China, Uingereza, Ufaransa, Japan na Korea Kusini kutuma meli za kivita ili kufungua Strait of Horm.


View: https://x.com/its_ereko/status/2033125745938108448?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

===

Donald Trump has urged the UK and other nations to send warships to the Strait of Hormuz to help secure the key shipping route out of the Middle East.

The US president said he hoped China, France, Japan and South Korea would also send ships to the passage, where a number of tankers are said to have been attacked since the US and Israel mounted their war against Iran a fortnight ago.

Responding to Trump's comments, the UK Ministry of Defence said it was discussing "a range of options to ensure the security of shipping in the region" with allies.

Tehran has said it will keep blocking the strait - the world's busiest oil shipping channel through which about 20% of world oil supplies usually pass.

Source BBC
 
Kuwa ya kwanza hakumaanishi kuna wingi hapo. Website Tanzania hangaika na kuuza website mengine achana nayo
Huu uzi ni mzito kwako tulia upate data.

🚨⚡️ MLANGO WA HORMUZ UMEFUNGWA!

Mwandishi wa habari wa Irani alisafiri kwa meli hadi Strait akionyesha njia kamili ya "kutovuka" kwa meli za kigeni.

Meli za mafuta za kigeni zimekwama nyuma ya mstari.

Meli yoyote inayowasha rada au kusonga nje ya mstari hupigwa na ndege zisizo na rubani za IRGC mara moja - hakuna maonyo.

Anasema meli za mafuta tayari zimegongwa. Wakati mmoja, mtu anapiga kelele: "Ni sawa juu yetu! Nenda!" - Ndege isiyo na rubani ya IRGC inaruka juu.
 
Hata asipoomba msaada iran watafinywa vizuri tu,huo msaada ni vile anataka kutoa lawama ili ionekane iran amechangiwa
 
Ritz kaa kwa kutulia, hujajua mchezo wa Marekani vile anavyocheza katika vita hii
 
Back
Top Bottom