Trump aomba msaada kwa mataifa waungane kupigana na Iran kupita Homuz, mataifa nengi yamekataa

Trump aomba msaada kwa mataifa waungane kupigana na Iran kupita Homuz, mataifa nengi yamekataa

Kasongo uzi ni wako na koment zote ni zako unajitekenye huku hahahaha dah safi sana nimekukubali kasongo we ni mzalendo saaaana
 
Hii vita ni kama Trump alijiamulia tuu kifala fala. Kila mtu anamkana. 😁

Kashauriwa na NETANYAHU tu msaada anautafute kwengine

kwani Simu ya Netanyahu Hana nimpe mm!!! 🤠🤠🤠

Asisumbue wengine wasiousika!!

Pesa ya TOZO inaenda yote kwenye milipuko!!!!

kizee cha kilokole Kimetwanga maji kwenye kinu😇😇😇😇
 
⚡️ Starmer amkataa Trump: Uingereza haitatuma meli kwenye Strait of Hormuz

Kwa mujibu wa gazeti la The Telegraph, Ufaransa, Ujerumani na Korea Kusini pia haziko tayari kupeleka meli. Japan na Australia vivyo hivyo zimesema hazina mpango wa kutuma vikosi vya wanamaji katika Mashariki ya Kati ili kusindikiza meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.

Wakati huo huo, Jarida la Wall Street Journal, likiwanukuu maafisa wa Marekani, linaripoti kuwa utawala wa Donald Trump bado unapanga kutangaza wiki hii kuundwa kwa muungano wa kusindikiza meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.

Ni nchi zipi ziko tayari kujiunga nazo bado hazijafichuliwa. Dau zako?
 
Trump si kila siku anasema Marekani wana uwezo mkubwa si waende na Israel kufungua huko mfereji wao wanarusha mabomu kwa mbali tu na kubomoa majengo.
 
Unaumia mlokole pole tu ndio ivyo Israel inachapika mchana kweupe mbele ya Macho yako!!!
mimi ni shahid wa yehova kama tu dini yangu inakataa kuongezewa dam ya mtu mwingne ije kuwa kushabikia vita za kumwaga damu so sinaga upande wowote iwe siasa au dini popote
 
Back
Top Bottom