Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Wacha aende kama mwanaume🇬🇧🇮🇷 PM Starmer: "Tunapaswa kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz ili kuhakikisha utulivu sokoni... hiyo si kazi rahisi."
Pia anasema London inafanya kazi na washirika wa Ulaya katika mpango wa pamoja wa kufanikisha hilo.