Trump apiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani

Protect

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
123
Reaction score
436
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani.

Nchi zilizopigwa marufuku kwa raia wao kuingia Marekani ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the Congo, Equatorial Guinea, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan, na Yemen
==========

  • Trump signs ban on travel to US from 12 countries: Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the Congo, Equatorial Guinea, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan, and Yemen
  • There are an additional seven countries whose nationals face partial travel restrictions: Burundi, Cuba, Laos, Sierra Leone, Togo, Turkmenistan, and Venezuela
  • Remember, this isn't Trump's first travel​


    At the beginning of the White House statement detailing the new travel ban, Trump talks about the ban that he enforced during his first term in 2017. It was often referred to as the "Muslim ban".

    The President's plan to ban people from certain countries coming into the US faced various legal challenges and was amended several times, but the Supreme Court ultimately ruled it could go into full effect.

    It was then extended to include people from North Korea, Venezuela and Chad.

    Today, Trump says the ban "successfully prevented national security threats from reaching our borders".
  • Source: BBC
 
Amesema Equatorial Guinea wana Balthasar Engonga ambaye ni mpenda wake za watu, anaogopa akienda Marekani atavunja ndoa za watu kwa shoo zake za kibabe.
Wewe jamaa bado unamuwaza Balthazar Engonga? Mbona muda sana. Teh!
 
Amesema Equatorial Guinea wana Balthasar Engonga ambaye ni mpenda wake za watu, anaogopa akienda Marekani atavunja ndoa za watu kwa shoo zake za kibabe.
Hopeless, utakuwa mtu wa pwani maana ndio wenye jadi ya kutukuza ngono na midundiko, singeli and the like
 
Tanzania vipi, maana huyu Mama na kikosi chake cha siri cha mauwaji ni hatari
 
Hili la congo alishalisemea kuwa crime rate ya hawa ndugu ipo juu ila pia kuna raia (mixed race) nadhani ni raia wa USA walitaka kumpindua Tshekedi wakawa wamehukumiwa kunyongwa sasa sijui congo ilipata kiwewe au nini baada ya kuanza kuwataka wawekezaji kutoka kwa Trump wakawaachia na kuwa deport to 🇺🇸. Trump akadai serikali ya congo ina send wauwaji 🇺🇸
 
Kuna Congo republic na democratic republic of congo
 
Hi Haiti ingejiunga tu na umoja wa Afrika duniani ingejua moja kuhusu wao
 
kama tanzania haimo chadema waone aibu na mhaini wao jela anahukumiwa kunyongwa
 
Tokea kuanzia Jumatatu, raia kutoka nchi 12 — Afghanistan, Myanmar, Chad, Congo-Brazzaville, Guinea ya Ikweta, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan na Yemen — hawataruhusiwa kusafiri kwenda Marekani.

Kwa nchi nyingi zilizo kwenye orodha hiyo, Ikulu ya White House imetaja mchanganyiko wa viwango vya watu wanaoendelea kukaa Marekani baada ya visa zao kuisha pamoja na hali ya kisiasa kutokuwa thabiti kama sababu kuu za marufuku hiyo.
Kwa baadhi ya nchi kama Congo-Brazzaville, Chad, Guinea ya Ikweta, Burundi, Laos, Sierra Leone, Togo na Turkmenistan, sababu pekee iliyotajwa ni asilimia kubwa ya raia wao wanaokaa Marekani baada ya muda wa visa zao kumalizika.

Sababu nyingine zilizotajwa mara kwa mara ni pamoja na nchi hizo kukataa kuwapokea raia wao waliopaswa kurejeshwa (removable nationals), ukosoaji dhidi ya mamlaka za utoaji wa pasipoti, au kutoweza kupata rekodi za kihalifu za wahamiaji kutoka nchi hizo.

Masuala ya usalama pia yametajwa katika tangazo hilo. White House imeituhumu Iran na Cuba kuwa “wafadhili wa kigaidi wa kiserikali”, imesema Libya ina “historia ya uwepo wa magaidi”, na kuitaja Somalia kuwa “eneo salama kwa magaidi”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…