MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Yaani kazuwia watu masikini
DRC ina magaidi wa uislamu wanaoitwa ADF.
Yaani kazuwia watu masikini
Hiyo ni DRC au Congo brazaville?DRC ina magaidi wa uislamu wanaoitwa ADF.
Ni kweli mkuu ila hapo kwenye burn I'm sure ni congo ya Mobutu maana pia walililamika kuwa USA inapokea watu wengi wanaojitambulisha kuwa wametumwa na Tshekedi.Kuna Congo republic na democratic republic of congo
Trump hata hajui ni Congo ipi, DRC siyo congo republicNi kweli mkuu ila hapo kwenye burn I'm sure ni congo ya Mobutu maana pia walililamika kuwa USA inapokea watu wengi wanaojitambulisha kuwa wametumwa na Tshekedi.
Kumbe Chad sio sehemu ya kwenda kutafuta lifeChad, Djamena pana njaa hapo hatari raia wote wanawaza kusafiri tu.
Mchanga ni wa chuma pagumu hatari
Daah unawaza kwenda kutafuta maisha Nchi za Afrika Magharibi nyingi wanasota tu pana Nchi huko bado wanatumia 505 zile Peugeot za kitambo na zipo za kumwaga wamepaka rangi ya njano kwa matumizi ya Tqxi..Kumbe Chad sio sehemu ya kwenda kutafuta life
Vijana wengi wa kibongo watanung’unika, watalia na kugalagala kama mjane akiwa anatoa heshima za mwisho kwa marehemu mumewe 😂Tz kizimkazi ndio nextii
Inachanganya hahaha hata hivo kuna interview alijibu I don't know what congo is baada ya kuulizwa na mwandishi sikumbuki ilikuwa kuhusu niniTrump hata hajui ni Congo ipi, DRC siyo congo republic
Ni kweli kwetu Pwani, natoka Kizimkazi na uwa tunashinda mabarazani tu huku tumevaa shuka tunazolalia zikinuka ushuzi, kwani kuna kosa hapa?Hopeless, utakuwa mtu wa pwani maana ndio wenye jadi ya kutukuza ngono na midundiko, singeli and the like
Anawanyanyas Wakongo huku anapora madini yao kupitia m23Hiyo Congo na Equatorial Guinea zina shida gani? Ametoa sababu au ni just for "national security"?
Hiyo sio DRC; ni Congo Brazzaville.Anawanyanyas Wakongo huku anapora madini yao kupitia m23
Kwa hiyo kama ni mtu wa PWANI basi ni muislam sio? Teh teh tehHopeless, utakuwa mtu wa pwani maana ndio wenye jadi ya kutukuza ngono na midundiko, singeli and the like
Afadhali mkuu. Maana DRC inanyonywa kama mama mbwa anavyokamuliwa na vitoto bila huruma.Hiyo sio DRC; ni Congo Brazzaville.