Trump apigwa tobo na China mbele ya kizuizi chake

Trump apigwa tobo na China mbele ya kizuizi chake

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,952
Reaction score
8,807
Niaje waungwana

Meli zilizowekewa vikwazo na Marekani zimeonekana kupita katika mlango wa bahari wa Hormuz licha ya kizuizi kilichowekwa na Washington, jambo linaloibua maswali kuhusu ufanisi wa hatua hiyo.

Kwa mujibu wa takwimu za ufuatiliaji meli, meli ya China iitwayo Rich Starry ilivuka mlango huo mapema siku ya leo Jumanne na kuwa ya kwanza kufanya hivyo tangu kuanza kwa kizuizi hicho. Pia ilifanikiwa kutoka katika eneo la ghuba, hatua inayoashiria uwezekano wa kupenya kwa usafirishaji licha ya vizuizi.

Meli hiyo inayomilikiwa na kampuni ya Shanghai Xuairun Shipping Co Ltd, iliwekewa vikwazo na Marekani kutokana na uhusiano wake wa kibiashara na Iran. Hata hivyo haikuweza kupatikana mara moja kwa maelezo zaidi.

Taarifa kinaonesha kuwa Rich Starry ilikuwa imebeba takribani mapipa 250,000 ya methanol.

Katika maendeleo mengine, meli nyinyine iliyowekewa vikwazo Murlikishan nayo iliingia katika mlango wa Hormuz siku hiyo hiyo ya leo Jumanne.
 
Ni kweli kwamba mlango huo sasa unadhibitiwa na Marekani badala ya Iran?
Wewe upo dunia gani ambayo inashindwa kukuonesha hata jeografia mkuu!!

Hormuz ni mfano wa boda ya Serengeti katika ya Tanzania na Kenya. Sasa mfano Tanzania ndio Iran tufunge njia zote wanazotumia wanyama na watalii kutoka nje wasiingie Tanzania bila kulipa ushuru na malipo ya utalii. Afu tuseme nchi nyingine (mfano Marekani) inayotuma watalii kuja nchini kwetu kiholela bila malipo, wachukie na kwenda pale katika mpaka wa Serengeti, ila kwa upande wa Kenya kisha kufunga na wao mpaka kama tulivyofunga sisi.
 
Kafunga mifumo ya ulinzi wa anga Israel, lkn bado missiles na drone za Iran zinapenya.

Ka copy style ya kuzuia meli, lkn bado meli kibao zinapenya.

Yani akisimama nchale, akikaa nchale 🤣🤣🤣
Israel isingekuwa na ulinzi zile missiles zote kutoka Iran ingebidi nchi nzima iwe Majivu ila tunavyoongea Sasa hivi Israel life linaenda kama kawaida na wanapigana na Hesbulah

Pia si kweli kwamba meli zinapita ilivyokuwa si kweli

Ingia hapa kwenye mfumo wa kutrack meli za Dunia

https://www.marinetraffic.com/en/ais/home/centerx:56.2/centery:25.1/zoom:6 ... Hapa kwanza nimekuwekea hiyo meli mnayosema ni ya china. Angaliaive coverage yake ilipo Sasa na ilikotokea.
 
Iran haikua ikiichapa israhell kama wao
Ndio maana hawakupiga shule madaraja nk
Kuendelea shughuli vita si imesimama au bado inaendelea mzeee
Hio meli imepita hormuz leo imetokea UAE wakati inaendelea na safari iliekwa online mpaka ikavuka hormuz
Achaneni na khadija kopa Turampet
 
Aisee kwa mara ya kwanza nakutana na Kim Jong jr ambae ni chawa kindaki ndaki wa Netanyahu.
 
Iran haikua ikiichapa israhell kama wao
Ndio maana hawakupiga shule madaraja nk
Kuendelea shughuli vita si imesimama au bado inaendelea mzeee
Hio meli imepita hormuz leo imetokea UAE wakati inaendelea na safari iliekwa online mpaka ikavuka hormuz
Achaneni na khadija kopa Turampet
Umefafanua vizuri san
 
Sometimes Trump ana mambo ya kiwaki sana.. Ingekuwa sio misimamo yake kuhusu ushoga ningedhani naye ni upinde
 
Back
Top Bottom