Marekani hadhibiti mlango yeye alitangaza kuzuia meli zinazotaka kuingia mlangoni na kutoka maana yake yuko nje ya mlango.Ni kweli kwamba mlango huo sasa unadhibitiwa na Marekani badala ya Iran?
GCC nini mkuu?Meli ilikuwa yatoka GCC kuelekea China
Meli zilizozuiwa ni zote zinazoenda Iran au Kutoka Iran
Si sehemu ya GCCGCC nini mkuu?
Iran sio sehemu ya GCC?
🙏
Okay shukran kwa elimu Boss🙏Si sehemu ya GCC
Wewe upo dunia gani ambayo inashindwa kukuonesha hata jeografia mkuu!!Ni kweli kwamba mlango huo sasa unadhibitiwa na Marekani badala ya Iran?
Israel isingekuwa na ulinzi zile missiles zote kutoka Iran ingebidi nchi nzima iwe Majivu ila tunavyoongea Sasa hivi Israel life linaenda kama kawaida na wanapigana na HesbulahKafunga mifumo ya ulinzi wa anga Israel, lkn bado missiles na drone za Iran zinapenya.
Ka copy style ya kuzuia meli, lkn bado meli kibao zinapenya.
Yani akisimama nchale, akikaa nchale 🤣🤣🤣
Iran haikua ikiichapa israhell kama waoIsrael isingekuwa na ulinzi zile missiles zote kutoka Iran ingebidi nchi nzima iwe Majivu ila tunavyoongea Sasa hivi Israel life linaenda kama kawaida na wanapigana na Hesbulah
Pia si kweli kwamba meli zinapita ilivyokuwa si kweli
Ingia hapa kwenye mfumo wa kutrack meli za Dunia
https://www.marinetraffic.com/en/ais/home/centerx:56.2/centery:25.1/zoom:6 ... Hapa kwanza nimekuwekea hiyo meli mnayosema ni ya china. Angaliaive coverage yake ilipo Sasa na ilikotokea.
Aisee kwa mara ya kwanza nakutana na Kim Jong jr ambae ni chawa kindaki ndaki wa Netanyahu.Israel isingekuwa na ulinzi zile missiles zote kutoka Iran ingebidi nchi nzima iwe Majivu ila tunavyoongea Sasa hivi Israel life linaenda kama kawaida na wanapigana na Hesbulah
Pia si kweli kwamba meli zinapita ilivyokuwa si kweli
Ingia hapa kwenye mfumo wa kutrack meli za Dunia
https://www.marinetraffic.com/en/ais/home/centerx:56.2/centery:25.1/zoom:6 ... Hapa kwanza nimekuwekea hiyo meli mnayosema ni ya china. Angaliaive coverage yake ilipo Sasa na ilikotokea.
Umefafanua vizuri sanIran haikua ikiichapa israhell kama wao
Ndio maana hawakupiga shule madaraja nk
Kuendelea shughuli vita si imesimama au bado inaendelea mzeee
Hio meli imepita hormuz leo imetokea UAE wakati inaendelea na safari iliekwa online mpaka ikavuka hormuz
Achaneni na khadija kopa Turampet
Marekani wanadhibiti mlango wa Oman. Meli huwa zinapita Oman kwanza then Hormuz. Na vice versa inategemea uelekeo.Ni kweli kwamba mlango huo sasa unadhibitiwa na Marekani badala ya Iran?