Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio kwanza kumepambazukaMpaka miaka minne iishe 🙌🏾🙌🏾
YaanNa ndio kwanza kumepambazuka
Ameshauri mamaBaada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi yoyote na na nani alifanya hayo maamuzi!
View attachment 3267218
Kesho watafanya 100% kabisa.Ametulizwa na papo kwa papo badaa ya Canada na yeye kusema naweka 50%
Amepigwa karata ya arba hamsini......
View attachment 3267346
Trump ndiyo katepeta. Aliweka ushuru kwenye Aluminium na Chuma kutoka Canada. Ameondoa nao Canada wameondoa ongezeko la bei kwenye umeme.Tayari Kanada ameshatepeta huko; kawa mpole yaishe.
Hujui usemalo wewe.Trump ndiyo katepeta. Aliweka ushuru kwenye Aluminium na Chuma kutoka Canada. Ameondoa nao Canada wameondoa ongezeko la bei kwenye umeme.
Ushirikiano wa nini kama akiamua kutawala kwa mabavu anaweza ?Huyu mjinga ataidhuru nchi yake tu. Unadhani marekani ataweza bila ushirikiano na nchi nyingine ?
Haombi, alikuwa analipiaivi inakuwaje superpower anaomba umeme kwa jirani miaka yote. na wakati huo huo ametoa misaada kwa Ukraine dola b350