Hawezi. US Sasa Ina deni la kukata na shoka na wao wanajua sana badala ya kuwekeza kwenye miundo mbinu na viwanda wao ilikuwa ni vita tu kutoka moja kwenda nyingine na zote mwishowe hawakufaidika na wakachoka na wakatimuliwa kutoka hizi nchi. Ya mwisho ni Afghanistani baada ya kupoteza $ dollar trillion mbili na nusu wakaamua kukimbia na kuwaachia Taliban.Ushirikiano wa nini kama akiamua kutawala kwa mabavu anaweza ?