Trump apinga Marekani kununua umeme kwa nchi yoyote.

Trump apinga Marekani kununua umeme kwa nchi yoyote.

Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi yoyote na na nani alifanya hayo maamuzi!
View attachment 3267218
Trump ana shida fulani. Kwani yeye tarriffs anazowawekea haviwaathiri innocent people?
 
Trump anatakiwa awashauri wachawi wa maendeleo Tanzania ambao wanaona sifa kununua Ethiopia Kwa gharama kubwa wakati huohuo tunamradi mkubwa umekamilika wa JNHEPP
HII YA KUNUNUA UMEME ETHIOPIA MBONA ISHATOLEWA MAELEZO YA KUTOSHA MKUU UNATAKA UMEME USAFIRISHWE KM 1000 WAKATI HAPO KM 10 KUNA UMEME? UNAKUA UMEOKOA GHARAMA NGAPI?HATA TANGA KUNA WILAYA YA MKINGA IPO JIRANI NA KENYA UMEME WAO UNATOKA KENYA HAKUNA JIPYA HATA USA HAYO MAJIMBO YANAYOTUMIA UMEME WA CANADA SIO KUWA USA HAWANA UMEME WAMEPUNGUZA GHARAMA YA KUUSAFIRISHA WAMEANGALIA HAYO MAJIMBO KUCHUKULIA UMEME CANADA NI NAFUU ZAIDI
 
Back
Top Bottom