Hawezi. US Sasa Ina deni la kukata na shoka na wao wanajua sana badala ya kuwekeza kwenye miundo mbinu na viwanda wao ilikuwa ni vita tu kutoka moja kwenda nyingine na zote mwishowe hawakufaidika na wakachoka na wakatimuliwa kutoka hizi nchi. Ya mwisho ni Afghanistani baada ya kupoteza $ dollar trillion mbili na nusu wakaamua kukimbia na kuwaachia Taliban.Ushirikiano wa nini kama akiamua kutawala kwa mabavu anaweza ?
Usije ukadanganyika hayo ni maamuzi ya peke yake. Huko sio Wakanda.Huyu mjinga ataidhuru nchi yake tu. Unadhani marekani ataweza bila ushirikiano na nchi nyingine ?
Mkuu, dollar ya Marekani ndio inaitwa "global reserve currency", kusema ana deni kubwa wala sio ishu maana anaweza kuprint pesa na akalilipa bila wananchi kubebeshwa mzigo wa Kodi maradufuHawezi. US Sasa Ina deni la kukata na shoka na wao wanajua sana badala ya kuwekeza kwenye miundo mbinu na viwanda wao ilikuwa ni vita tu kutoka moja kwenda nyingine na zote mwishowe hawakufaidika na wakachoka na wakatimuliwa kutoka hizi nchi. Ya mwisho ni Afghanistani baada ya kupoteza $ dollar trillion mbili na nusu wakaamua kukimbia na kuwaachia Taliban.
Mzee Trump anataka kuigeuza nchi yake kisiwa kilichojitenga.Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi yoyote na na nani alifanya hayo maamuzi!
View attachment 3267218
Unadhani anafadhili bila kujua faida atakayopata?ivi inakuwaje superpower anaomba umeme kwa jirani miaka yote. na wakati huo huo ametoa misaada kwa Ukraine dola b350
Ndo hivyo wamerekan wajiandae kwa mfumuko wa bei .. hawwna advantage yoyote maana hawana viwanda labda vya F35Huyu mjinga ataidhuru nchi yake tu. Unadhani marekani ataweza bila ushirikiano na nchi nyingine ?
huez toboa , USA inahiitaj dunia kuliko Dunia kuihitaj USAUshirikiano wa nini kama akiamua kutawala kwa mabavu anaweza ?
hata mwehu mmoja huko Urusi alikuwa na kiburi cha kujitenga na baadhi ya majimbo ya USSR ila kilitokea nini baadae , walikuja kuwa kama msumbiji mpk USA ilipoanza isaidia , Trump anaipeleka huko USAUsije ukadanganyika hayo ni maamuzi ya peke yake. Huko sio Wakanda.
sasa hv watu hawatumii huo uchafuMkuu, dollar ya Marekani ndio inaitwa "global reserve currency", kusema ana deni kubwa wala sio ishu maana anaweza kuprint pesa na akalilipa bila wananchi kubebeshwa mzigo wa Kodi maradufu
Mazingira ya mmarekani kiuchumi kutokana na thamani ya pesa yake unaweza kusema ana "infinity money glitch"
Ubaya ubwelaAmetulizwa na papo kwa papo badaa ya Canada na yeye kusema naweka 50%
Amepigwa karata ya arba hamsini......
View attachment 3267346
Twenzetu kwa Trump AnaMpaka miaka minne iishe ๐๐พ๐๐พ
Ana vibaraka wa kutosha kumzalishia bidhaa cheaply, Vietnam huko , Thailand, Indonesia, Philippines etcNdo hivyo wamerekan wajiandae kwa mfumuko wa bei .. hawwna advantage yoyote maana hawana viwanda labda vya F35
Mnajidanganya, nitakuja kushtuka petroli na dollar zitakavyoachanasasa hv watu hawatumii huo uchafu
Hawana viwanda ๐ณ๐ณNdo hivyo wamerekan wajiandae kwa mfumuko wa bei .. hawwna advantage yoyote maana hawana viwanda labda vya F35
Wataona nyota nyinigi kuliko zilizo kwenye bendera yao.Mpaka miaka minne iishe ๐๐พ๐๐พ
Sawa bills on you tunaenda๐นTwenzetu kwa Trump Ana