Trump approves Sh43.5bn arms sale to Kenyan military

Wewe wala usishoboke na hizo data,unaweza ukawa na namba kubwa ya ndege kumbe mengi ni mapower tiller kama hayo mnayoyaleta toka USA
 
Obama ndani ni muislamu,kwa sababu ya kutawala taifa LA kikristo ndio lazima aende hivyohivyo!Mbona unatoka povu kutetea sana?
 
Hio $418 million si eti inalipwa at once, tofauti ya dili za nchi za east(china,russia,Ukrain,.....) na dili za west (USA,Uk,France,Germany) hua ni nchi kama marekani ikikuuzia hua initial quote ya cost, hua wamepiga hesabu zote tayari, yaani the whole life cycle ya hio ndege, wameshapiga hesabu zote za repair, supplies,spare parts ...kila kitu ndo itafika hio 418$million....


ingekua ni russia,china,india,pakistan...hizo ndege ungeuziwa na kama $20m, lakini baada ya hapi ungeanza kulipia extra for training, kila wakati unataka spare, supplies, logistics...... mwishowe ukipiga hesabu baada ya miaka ishirini, unajikuta ulitumia pesa nyingi zaidi
 
Hawa ndugu zetu sijui nani kawaroga treni wameenda kununua zinazotumia makaa ya mawe,ndege Nazo air trekta basi sawa ndio walichokichagua.
 
alafu wale wanaocheka eti hio ni ndege ya agriculture na zimamotto, tafadhalini, fanya research kwanza kabla uaibishe nchi yako...... hio ndege iko na very long enduarance ili iweze kufanya hio kazi, ndo maana ni ideal kwa vita ambavo vinajulikana kama low-threat , yani adui ambaye hana missiles ama air defence system, ndege hizi zinaitwa light attack aircraft, hutumika haswa kwa wanamgambo kama alqaeda,alshabaab,....... special forces wa UAE na wa USA washawahi zitumia hizi huko m.east .......kuna hizo za ukulima alafu kuna zengine zimetengenezewa za kivita ambayo hua zimewekwa vitu vya kisasa na inaweza chafua adui vizuri sana

zinaweza zikabeba hadi hellfire missile ambayo ni missile ya kisasa, pia zinabeba aina tofauti za precision guided munition, ambapo hata zile F-7 za watz za kichina haziwezi beba ilihali hizo ni fighter jets


alafu hizi ziko na very low maintanance cost,
 

Hawa jamaa taaban, sijui watasoma lini kwamba, wao bado sana kwa Kenya, mambo tunayoyafanya wao kufikia ni miaka!!

Huwa wamefumba macho hawawezi inuka wakaona mambo kwa uhalisia!!


Wao kejeli tu, ukiuliza na wao wamefanya nini, hawana la kusema! Isipokuwa kejeli, waulize wao, wamefanya nini? hawana.

Ndio maana numbari yao 96! mwisho kabisa hawa!!!

Kenya Army Training fields
 
Wewe wala usishoboke na hizo data,unaweza ukawa na namba kubwa ya ndege kumbe mengi ni mapower tiller kama hayo mnayoyaleta toka USA

Kejeli tu na kila ranking mko mwisho, lini mtaacha kuota na mjue aliyekutangulia kakuzidi jambo?

Mmesahau, msafiri ni aliyebandarini!!!

Mkifika tutakuwa kwingine!!

Kejeli za ovyo tu! Simfanye lolote nanyi pia msikike mmefanya!! Daah!!! Wabongo man!!!
 
Hawa ndugu zetu sijui ndani kawaroga treni wameenda kununua zinazotumia makaa ya mawe,ndege Nazi air trekta basi sawa ndio walichokigua.
Kama ile kwenye kichwa chako, siujiulize nani alikuroga kwanza, na hasa ikujua kule bongo ndio kwenye wachawi!! Tafuta aliyekuroga wewe mwanzo! Kisha tafuta liyeroga TZ iwe ya mwisho kwa kila kitu! Sio uchumi, elimu, michezo, miundo msingi, technologia, name them.....
 
Kila vita tulipigana tulishinda, wakenya wameshinda vita gani?
 
Askari 3000 Soldier pekee ndio wako Somalia my friend utahangaika hadi lini!!!
Kila siku mnaongeza askari...West gate mlipeleka hadi F15 na vifaru.... Na bado Shabab waliondoka... Akili zenu Wakenya huwa mnazitumia kifanyia nini?
 
Kila vita tulipigana tulishinda, wakenya wameshinda vita gani?

Aaah, we nawe vita gani? Unataka tuje tumbwage ndio muelewe? hata hatuna lakufaidi, ingelikuwa mnamafuta, tungekuja!!

Kenya hutajaingia vitani, na alshabab sio vita ila ni operesheni, maanake unayepigana naye, yumo mafichoni na sio jeshi, Gorilla war fair is not an easy thing, niambie nchi gani iliwahi shida vita dhidi ya ughaidi ikiwemo marekani?

Najua huelewi hata!

Shifta war, Kenya and Somalia long time ago was easily won by Kenya, when Kenya had no weapons compared to Somalia, what about now???


Kenya acquires new drone to combat Al-Shabaab - Nairobi News
(Kenya expects 8 more)

The Global Firepower (GFP) list in its rankings of military strength have ranked the Kenya Defense Force(KDF) at number 68 in the world

Mi-28
The Intelligence Report: Kenya’s KDF’s 50-ACB Wing Armed With Russian
http://intelligencebriefs.com/the-intelligence-report-kenyas-kdfs-50-acb-wing-armed-with-russian/
 
Nyinyi mkibizane na Al Shabaab mpaka siku moja mtawaomba samahani. Kuna jamaa yangu mkenya aliniambia waKenya wana kila sababu ya kuwashukuru Al Shabaab, maana Al Shabaab wametengeneza kazi nyingi sana Kenya. Kila mtu anayefanya kazi kwenye security industry in Kenya, lazima awashukuru Al Shabaab. Na ukiangalia ni kweli, kila duka ukingia Nairobi, kuna security sio chini ya watano. Majengo yote makubwa, unakuchukuwa dakika 10-15 kuingia ndani sababu ya kupekuliwa. Airport ndio usiseme, mshuka toka kwenye gari na kutembea kwa miguu kwenda kukaguliwa. Upekuzi kila mahali. Zote hizi ni kazi zilizo letwa na Al Shabaab.
 
Kweli hiyo imetusaidia hata kupata category one status
 
Wangenunua kuanzia F-15 au F-22 raptor au upgraded F-23 ndio ingekuwa habari ya mujini. Hizo ndege walizonunua ukienda TPC Moshi utazikuta zikinyunyizia sumu mashamba ya miwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…