Trump apuuza umeme wa jua(solar) China ikichanja mbuga, Elon Musk alia solar kutelekezwa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe!

Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu. China wao wanaendelea kuwekeza kwenye umeme wa juu kila kukicha na umeme wa solar pekee wanaozalisha hakuna nchi nyingine duniani ukiacha US na India wanafikia kwa vyanzo vyao vyote vya kuzalisha umeme.

Tajiri Elon Musk swahiba wa Trump akiwa na uwekezaji mkubwa na malengo makubwa katika sola amelaani vikali bajeti ya kwanza ya Trump madarakani akiita ni wendawazimu kwa kuondoa nafuu mbalimbali za kodi katika solar, kuongeza kodi mpya za juu katika solar na kuweka vikwazo lukuki katika uwekezaji wa solar kuanzia mwaka 2026.
Screenshot_20250630_175934_X.jpg
20250630_180847.jpg
 
sema hiyo ardhi inayokuwa Covered na Panels kama Milioni ivi huoni kama natural vegetation inaharibiwa??
Mfano tungekua tunavuna umeme huo kwenye maeneo kama ya Jangwani ingekua zouzoua sana.
Ila Makaa yanaharibu Angahewa na kusababisha global walming. Trump ashauriwe vizuri, tutamtuma Mwijaku aka muonye!!
 
Namuunga mkono Trump, Umeme wa Jua ni uduwanzi tu ni kama Project tu za Shule ambazo zinaishia huko huko chuo.

Kwanza vifaa ni bei kali and vinaoza inafika time unatakiwa kuchanga kila kitu.

Labda kupatikane mbadala tofauti. Watu walikomaa nao mwishowe wakaitafuta tu grid ya Taifa.

Mpigieni simu mwambie Nyerere alizuia Makaa kwa Miaka mingi hadi majaa yakadai Yamepitwa na wakati kuna mkoa mmoja Makaa yalikuwa yanawaka moto chini ya ardhi miaka mingi
 
Ila kwa akili kama hizi tutachelewa sana kupata maendeleo
 
Eu na china wanapambana sana na green energy ila trump na waarabu wanaona mafuta kwao ni big deal
 
Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe!

Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu. China wao wanaendelea kuwekeza kwenye umeme wa juu kila kukicha na umeme wa solar pekee wanaozalisha hakuna nchi nyingine duniani ukiacha US na India wanafikia kwa vyanzo vyao vyote vya kuzalisha umeme.

Tajiri Elon Musk swahiba wa Trump akiwa na uwekezaji mkubwa na malengo makubwa katika sola amelaani vikali bajeti ya kwanza ya Trump madarakani akiita ni wendawazimu kwa kuondoa nafuu mbalimbali za kodi katika solar, kuongeza kodi mpya za juu katika solar na kuweka vikwazo lukuki katika uwekezaji wa solar kuanzia mwaka 2026.
View attachment 3389350View attachment 3389351
Yupo sahihi kwa,asilimia 60%.... china ina maeneo ya majangwa ndiyo inatumia kwa miradi kama hiyo yenye tija ndogo na kazi kubwa
 
Ukiwa na vyanzo vingi vya uhakika wa Umeme uwezi kukubali kupoteza muda kwenye Solar plants unless uipeleke huko kijijini kwa wakulima pamoja na winds.
Yaani ufunike ekari kadhaa kwa solar panels wakati unayo uwezo wa uranium au maji?
 
Dunia ya sasa hututaki vyanzo vingi tunataka vyanzo vilivyo rafiki kwa mazingira
 
Ukiwa na vyanzo vingi vya uhakika wa Umeme uwezi kukubali kupoteza muda kwenye Solar plants unless uipeleke huko kijijini kwa wakulima pamoja na winds.
Yaani ufunike ekari kadhaa kwa solar panels wakati unayo uwezo wa uranium au maji?
Kabisaa

Kama nchi tujikite tu kwenye umeme wa uranium na maji
 
Umeme wa sola ni miradi ya kifisadi ya viongozi ...msidhani china hakuna ufisadi...sema wanadmfanya ufisadi wa kizalendo
Miradi ya nishati safi imegeuka ufisadi kweli wewe ni msukule wa trump kila atacho sema yupo sahihi.
 
Kabisaa

Kama nchi tujikite tu kwenye umeme wa uranium na maji
Ya EU pamoja na maendeleo waliyo nayo wana epuka uranium. Wanaanza kutumia jua la Africa. Afu Wewe kanumbuyeye unashauri taifa lako dhaifu liende kwenye hatari
 
Ila kwa akili kama hizi tutachelewa sana kupata maendeleo
Aisee Mkuu unataka kuniambia unaweza kupata maendeleo kwa kutegemea umeme jua? eh people mnadhani kila kitu ni cha kubishania tu.

Niambie umeme wa Jua unahitajika kiasi gani kuendesha kiwanda kimoja tu Bakhresa cha Kusaga nafaka pale Nyerere road hebu tupigiane Hesabu cost zote. tuone nani yupo sahihi. na kama huwezi kaa kimya tu, au umeongea na wewe uonekane umetoa maoni tu?
 
Screenshot_20250709-073402.png

Kama huta nielewa kwa mifano hii basi
 
Back
Top Bottom