Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe!
Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu. China wao wanaendelea kuwekeza kwenye umeme wa juu kila kukicha na umeme wa solar pekee wanaozalisha hakuna nchi nyingine duniani ukiacha US na India wanafikia kwa vyanzo vyao vyote vya kuzalisha umeme.
Tajiri Elon Musk swahiba wa Trump akiwa na uwekezaji mkubwa na malengo makubwa katika sola amelaani vikali bajeti ya kwanza ya Trump madarakani akiita ni wendawazimu kwa kuondoa nafuu mbalimbali za kodi katika solar, kuongeza kodi mpya za juu katika solar na kuweka vikwazo lukuki katika uwekezaji wa solar kuanzia mwaka 2026.