Trump Asema Anamheshimu Sana Zelensky, ni Kiongozi Jasiri. Haamini Alimwita Dikteta


Na Hapa Wanamdharau Live


View: https://x.com/BRICSinfo/status/1895528687787000034?t=rdnh7D-UHNIMjrUxT5ZPbA&s=19
 
Trump labda anaumwa akili. Moja ya dalili za magonjwa ya akili kwa wazee ni kusahausahau, labda kashasahau kwamba alimwita Zelensky dikteta.

Au pengine ni muongo tu anajifanya kasahau.

Yote mawili ni majanga.
🤣🤣🤣
 
Congo naye nasikia anataka atoe madini ili apate ulinzi kutoka marekani
😭😭😭😭
 
Wenzetu rangi nyeupe wako smart sana vitu wanaongelea open sana...huku kwetu ungeona tu pua ya mama imezama mezani bila kusema anachora nini...lakini Rais wa Ukraine wamewapa Boss na msaidizi wake wa USA makavu hadi wakasema hana nadhani na maneno yake hayaoneshi matumaini.
Jamaa wako live debate kabisa.
Sisi hadi mkuu wa kitongoji huko majuu anamvimbia mama yetu.
 
Kwa kilichotokea jana ni wakati muafaka sasa wa Europe kuangana na Russia ili wawe against USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…