The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Hakuna kipya kwenye vita ya Ukraine na Urusi ambacho magharibi hawajakifanya. Walianza kuvisifia vifaru vya Bradley mara Abrahams, Leo viko wapi? Zelenskiy aliomba mifumo ya ulinzi ya anga c alipewa? Vimesaidia nini? Kaomba ndege za F-16 nazo c alipewa? Mbona zinazidi kupukutishwa?
Huu mgogoro usingelipuka na kuwa hapa endapo magharibi wangendelea kuheshimu mkataba waliowekeana na Urusi kuwa hakuna nchi kubwa mbili hizi kujitanua kuelekea kwa mwenziye. Diplomasia imeshindikana kwa sababu Putin amesimamia mkataba wao unavyodai huku wao wakiitaka Ukraine iwe mwanachama wao ili wakae karibu na Urusi kitu ambacho kwa usalama wa Urusi ni hatari.
Hata hizi silaha wanazotangaza kuwa za kisasa haziendi kutatua lolote pale ulaya mashariki. Muda utaongea, ngoja tuone.
Trump bwana alimuingiza Chaka Netanyau kachapika na Sasa anataka kumuingiza Chaka Zelensk Ili amalizwe
Huyu Trump ana lake jambo sio Bure au ameshachoka kuwasaidia anataka wamalizwe fasta Ili apumzike
Kumbe hujui muundo na taratibu za silaha kwa Marekani. Marekani haitoi wala kuuza silaha za toleo la mwisho kabisa. Ukiona wanatoa silaha wanayoiita katest version kwa taifa jingine, lazima wao wawe na version iliyo bora zaidi.Silaha zote washamaliza Marekani hakuna kipya tena
Kwanza ni kama hana akiri, hana utulivu kabisa.Trump bwana alimuingiza Chaka Netanyau kachapika na Sasa anataka kumuingiza Chaka Zelensk Ili amalizwe
Huyu Trump ana lake jambo sio Bure au ameshachoka kuwasaidia anataka wamalizwe fasta Ili apumzike
Vita ya gaza na ukrain inaenda kuifilisi marekani rasmiTrump bwana alimuingiza Chaka Netanyau kachapika na Sasa anataka kumuingiza Chaka Zelensk Ili amalizwe
Huyu Trump ana lake jambo sio Bure au ameshachoka kuwasaidia anataka wamalizwe fasta Ili apumzike
Kwanini Russia aombe?Hio hasira yote ni kisa Russia kuomba kuisaidia Iran dhidi ya Israel..
Na yeye Iran si alimpa drones za shaheed?Kwanini Russia aombe?
Nashauri asikujibu.Usiwe unaandika vitu usivyo na uelewa navyo. Jibu maswali yafuatayo:
1. Ukraine imeomba lini kuwa mwanachama wa NATO?
2. Urusi ilianza lini kuyateka maeneo Ukraine?
Kama hujui Urusi kwa mara ya kwanza iliyachukua maeneo ya Ukraine, Crimea, Donetsk na Luhansk mwaka 2014. iliivamia Ukraine kwa mara ya kwanza mwaka 2014.
Kama hujui, Ukraine iliomba kujiunga na NATO ili kujilinda na uvamizi wa Putin, baada ya kudhihirika wazi kuwa Putin baada ya kuyachukua maeneo ya Crimea, Donetsk na Luhansk, bado alikuwa na tamaa ya kuchukua maeneo mengine ya Ukraine.
Chanzo cha tatizo ni Putin kuyachukua maeneo ya Ukraine na kuyafanya sehemu ya Urusi.