Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,528
- 4,355
mnajua kuropoka Netanyahuu kachapika nini sasa hukuona Iran imezika magenerali na wanasayansi wengi kama kukuTrump bwana alimuingiza Chaka Netanyau kachapika na Sasa anataka kumuingiza Chaka Zelensk Ili amalizwe
Huyu Trump ana lake jambo sio Bure au ameshachoka kuwasaidia anataka wamalizwe fasta Ili apumzike
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app