Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Iran wanauabudu huo mlango bahari kuliko uhai wao, wanaona bora wafe mlango ubaki.
Zaidi ya siku 40 za mashambulizi kwa Iran, hormuz wameshindwa kuifungua.Huoni huko venezuela meli za China na Russia zilivyosalimu amri mkuu?
The big brother is watching
Si Iran tu kufa kwa njaa, uchumi wa China unaweza kuporomoka kwa kiwango cha kutisha, kitu ambacho China hawezi kukubali kizembe.Hili likitokea basi tutashuhudia vita ya 3 ya dunia!kwani washirika wa IRAN hawatakubali rafiki yao IRAN afe kwa njaa!
China na India ndiyo wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Iran huyu Russia sio mnunuzi wa mafuta ya Iran.Meli za Russia na China kwasasa zinapita hormuz bila kizuizi. Russia na China watakubali jeshi la marekani kuzuia kizembe meli zao kupita?
Vita inaelekea patamu.
Wakiristo wa jf hata vita vikisha mshachizikkaRais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran.
Trump amesema kupitia ujumbe wake katika mtandao wa Truth Social kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani litachukua hatua hiyo baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu yaliyofanyika Islamabad, Pakistan, kushindwa kufikia makubaliano pamoja na mambo mengine, kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.
Ameongeza kuwa mazungumzo hayo yalivunjika kwa sababu Iran “haiko tayari kuachana na malengo yake ya nyuklia,” akisisitiza kuwa Washington ilihudhuria mazungumzo hayo kwa nia ya kutafuta suluhu ya kudumu.
Hatua hiyo inakuja wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukiendelea kuongezeka, huku juhudi za kidiplomasia za muda mrefu zikishindwa mara kadhaa kufanikisha makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran.
Mlango Bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya kimkakati inayopitisha sehemu kubwa ya mafuta ya dunia kutoka Mashariki ya Kati, na hatua ya Marekani inaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa masoko ya nishati na usafirishaji wa kimataifa.
Kabla ya ceasefire tayari walishapanga hili dili la kumiliki huu mlango ili Iran wafe Kwa njaa.Kobazi wamemeza ndoano,Marekani watapiga na Israel na pale mferejini wanaweka ulinzi wao.
Sahau km ni hormuz na Wairan wakale kondoo wanye walale.
Watu diplomatic kwamba wao wataangalia tu uchumi wao ukiumizwa waseme "hewala"!China kama kawaida hawa ni watu wa diplomatic, Kwakifupi kama hii mbinu mpya ya marekani itatiki basi tutegemee Iran kuanguka yenyewe.
Huyu mzee Ana mikwala sana.
Hiyo himaya iko kwenye free-fall state. Wamefikia ukomo, wameachiwa kamba ndefu wajinyonge wenyewe.K
Kabla ya ceasefire tayari walishapanga hili dili la kumiliki huu mlango ili Iran wafe Kwa njaa.
Ceasefire ni kiini macho Tu kwasababu zile terms za USA hakuna MTU anaweza kukubali, hapa kwenye mbinu hii ya kuuwa uchumi wa Iran na china kuna mmoja ataanguka vibaya sanaa
Hii si vita ya ukristo na uislamu. Pope Leo kaikemea sana jana, sasa sijui unamaanisha trump ni mkristo zaidi kuliko Pope Leo!Wakiristo wa jf hata vita vikisha mshachizikka
Badala uweke data unaongea habari za masjid kubraMkuu kuhusu kufadhili magaidi hata US inafanya sana. Kuhusu Israel sijui sana japo naskia Lina Hadi wabunge mashoga wa kujitaja hadhalani sasa hilo ndo taifa gani
Imepita miaka 7 tangu mara ya mwisho India inunue mafuta kutoka Iran. Unaposema India ni mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Iran si kweliChina na India ndiyo wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Iran huyu Russia sio mnunuzi wa mafuta ya Iran.
Irani yeye alikuwa anaifunga kwa utaratibu gani? Na akaiwekea mashart
Mkuu unakosea sana kufanya utoto kwa siasa za dunia. Ukristo na uislamu inaingiaje hapa? Hujui kuwa UAE amesema hiyo ndiyo njia pekee ambayo Marekani anapaswa atumie ili kuinusuru biashara ya mafuta na mbolea duniani?Wakiristo wa jf hata vita vikisha mshachizikka
Usimlinganishe magufuli na vitu vya kipuuzi, huyu mzee ni mropokokaji aliye muongo sana, mwanzoni alisema vita itaisha mda mfupi sana, na lengo kubwa ni regime change vipi ameshafanikiwa mpaka sasa kuondoa mfumo unaotawala irani.Trump anachoongea anamaanishaga ni watu dizaini ya Magufuli.
Usimlinganishe magufuli na vitu vya kipuuzi, huyu mzee ni mropokokaji aliye muongo sana, mwanzoni alisema vita itaisha mda mfupi sana, na lengo kubwa ni regime change vipi ameshafanikiwa mpaka sasa kuondoa mfumo unaotawala irani.
Wakiristo wa jf humu washabiki wa usaMkuu unakosea sana kufanya utoto kwa siasa za dunia. Ukristo na uislamu inaingiaje hapa? Hujui kuwa UAE amesema hiyo ndiyo njia pekee ambayo Marekani anapaswa atumie ili kuinusuru biashara ya mafuta na mbolea duniani?
Bahrain muislamu na pia muarabu alipeleka pendekezo kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa kuomba njia za kijeshi zitumike kuwalazimisha Iran waachie mlango bahari wa ohmuz!
Wewe ni msenge
K
Kabla ya ceasefire tayari walishapanga hili dili la kumiliki huu mlango ili Iran wafe Kwa njaa.
Ceasefire ni kiini macho Tu kwasababu zile terms za USA hakuna MTU anaweza kukubali, hapa kwenye mbinu hii ya kuuwa uchumi wa Iran na china kuna mmoja ataanguka vibaya sanaa
Hakuna taifa linalomiliki Mlango Bahari wa Hormuz, anachofanya Marekani ni temporary blockade. Hawezi kuufunga huo mfereji wakati meli za kimataifa zinapita hapoChina kama kawaida hawa ni watu wa diplomatic, Kwakifupi kama hii mbinu mpya ya marekani itatiki basi tutegemee Iran kuanguka yenyewe.