Trump asema Marekani itaudhibiti kijeshi Mlango-Bahari wa Hormuz

Iran wanauabudu huo mlango bahari kuliko uhai wao, wanaona bora wafe mlango ubaki.
 
Kobazi wamemeza ndoano,Marekani watapiga na Israel na pale mferejini wanaweka ulinzi wao.
Sahau km ni hormuz na Wairan wakale kondoo wanye walale.
 
Meli za Russia na China kwasasa zinapita hormuz bila kizuizi. Russia na China watakubali jeshi la marekani kuzuia kizembe meli zao kupita?

Vita inaelekea patamu.
China na India ndiyo wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Iran huyu Russia sio mnunuzi wa mafuta ya Iran.
China kama kawaida hawa ni watu wa diplomatic, Kwakifupi kama hii mbinu mpya ya marekani itatiki basi tutegemee Iran kuanguka yenyewe.

Tukumbuke hapa hakuna kurushiana mabomu wala mizinga hapa imetumika Akili kubwa ya Kiuchumi...Acha tusubiri tuone itakuaje
 
Wakiristo wa jf hata vita vikisha mshachizikka
 
K
Kobazi wamemeza ndoano,Marekani watapiga na Israel na pale mferejini wanaweka ulinzi wao.
Sahau km ni hormuz na Wairan wakale kondoo wanye walale.
Kabla ya ceasefire tayari walishapanga hili dili la kumiliki huu mlango ili Iran wafe Kwa njaa.
Ceasefire ni kiini macho Tu kwasababu zile terms za USA hakuna MTU anaweza kukubali, hapa kwenye mbinu hii ya kuuwa uchumi wa Iran na china kuna mmoja ataanguka vibaya sanaa
 
Hiyo himaya iko kwenye free-fall state. Wamefikia ukomo, wameachiwa kamba ndefu wajinyonge wenyewe.
 
China na India ndiyo wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Iran huyu Russia sio mnunuzi wa mafuta ya Iran.
Imepita miaka 7 tangu mara ya mwisho India inunue mafuta kutoka Iran. Unaposema India ni mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Iran si kweli

India imenunua mafuta ya Iran kwa mara ya kwanza mwezi huu tangu 2019, na tena baada ya mafuta kuwa hadimu ndio kuruhusiwa na Marekani inunue ya Iran

India ni kubwa jinga
 
Wakiristo wa jf hata vita vikisha mshachizikka
Mkuu unakosea sana kufanya utoto kwa siasa za dunia. Ukristo na uislamu inaingiaje hapa? Hujui kuwa UAE amesema hiyo ndiyo njia pekee ambayo Marekani anapaswa atumie ili kuinusuru biashara ya mafuta na mbolea duniani?
Bahrain muislamu na pia muarabu alipeleka pendekezo kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa kuomba njia za kijeshi zitumike kuwalazimisha Iran waachie mlango bahari wa ohmuz!
Wewe ni msenge
 
Usimlinganishe magufuli na vitu vya kipuuzi, huyu mzee ni mropokokaji aliye muongo sana, mwanzoni alisema vita itaisha mda mfupi sana, na lengo kubwa ni regime change vipi ameshafanikiwa mpaka sasa kuondoa mfumo unaotawala irani.

Muda mfupi alisema ni masaa Siku miezi au mwaka?
 
Wakiri Wakiristo wa jf humu washabiki wa usa
 

China hawezi kukubali Ujinga huo!Marekani katumia mbinu ya bora tukose wote🤣🤣,ngoja nisubiri jibu toka upande wa BRICs!
 
China kama kawaida hawa ni watu wa diplomatic, Kwakifupi kama hii mbinu mpya ya marekani itatiki basi tutegemee Iran kuanguka yenyewe.
Hakuna taifa linalomiliki Mlango Bahari wa Hormuz, anachofanya Marekani ni temporary blockade. Hawezi kuufunga huo mfereji wakati meli za kimataifa zinapita hapo

As long as kisiwa cha Kharg bado kipo mikononi mwa Iran, kitaendelea kutumika kusafirisha mafuta kwenda China

Ukiacha hilo kuna reli ilijengwa kutoka China hadi Iran special kwa kusafirisha hasa mafuta

Iran imeweza kuwa kwenye vikwazo kwa zaidi ya miaka 40 na haijaanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…