Trump ni tapeli, pressure nyumbani inazidi na zikipita siku 60 tangu mapigano yaanze, ni ama apate approval ya bunge kuendelea na vita au asitishe vita.Usimlinganishe magufuli na vitu vya kipuuzi, huyu mzee ni mropokokaji aliye muongo sana, mwanzoni alisema vita itaisha mda mfupi sana, na lengo kubwa ni regime change vipi ameshafanikiwa mpaka sasa kuondoa mfumo unaotawala irani.
alisema vita itaisha "shortly" (ndani ya muda mfupi),alisema itachukua wiki 2 hadi 3 za mashambulizi makali kabla ya kumaliza operesheni.Muda mfupi alisema ni masaa Siku miezi au mwaka?
Cha kwanza ni uongo India ilisha acha kununua mafuta ya Iran muda mrefu sana.China na India ndiyo wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Iran huyu Russia sio mnunuzi wa mafuta ya Iran.
China kama kawaida hawa ni watu wa diplomatic, Kwakifupi kama hii mbinu mpya ya marekani itatiki basi tutegemee Iran kuanguka yenyewe.
Tukumbuke hapa hakuna kurushiana mabomu wala mizinga hapa imetumika Akili kubwa ya Kiuchumi...Acha tusubiri tuone itakuaje
Mkuu PureView zeiss huku bado ni pakubwa sana kwako cha kukushauri jikite tu kwenye uchambuzi wa magari hasa ya subaru forester maana ndipo ulipo bobea sana.China na India ndiyo wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Iran huyu Russia sio mnunuzi wa mafuta ya Iran.
China kama kawaida hawa ni watu wa diplomatic, Kwakifupi kama hii mbinu mpya ya marekani itatiki basi tutegemee Iran kuanguka yenyewe.
Tukumbuke hapa hakuna kurushiana mabomu wala mizinga hapa imetumika Akili kubwa ya Kiuchumi...Acha tusubiri tuone itakuaje
ila Iran anayefadhili makundi ya kigaidi kama Hezbollah,na anayetishia kila mara kuifuta Israel sio mleta vita
Walokole wa tz ni mabumunda, vitu vya kijinga na ambavyo haviwezekani kwasababu vimetamkwa na marekani mnavisapoti na kuvifurahiaRais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran.
Trump amesema kupitia ujumbe wake katika mtandao wa Truth Social kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani litachukua hatua hiyo baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu yaliyofanyika Islamabad, Pakistan, kushindwa kufikia makubaliano pamoja na mambo mengine, kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.
Ameongeza kuwa mazungumzo hayo yalivunjika kwa sababu Iran “haiko tayari kuachana na malengo yake ya nyuklia,” akisisitiza kuwa Washington ilihudhuria mazungumzo hayo kwa nia ya kutafuta suluhu ya kudumu.
Hatua hiyo inakuja wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukiendelea kuongezeka, huku juhudi za kidiplomasia za muda mrefu zikishindwa mara kadhaa kufanikisha makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran.
Mlango Bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya kimkakati inayopitisha sehemu kubwa ya mafuta ya dunia kutoka Mashariki ya Kati, na hatua ya Marekani inaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa masoko ya nishati na usafirishaji wa kimataifa.
Wapuuzi wanafikiri kiongozi wa marekani ndiye mungu.Walokole wa tz ni mabumunda, vitu vya kijinga na ambavyo haviwezekani kwasababu vimetamkwa na marekani mnavisapoti na kuvifurahia
Hiyo plani ya ukichaa anataka kuiweka Trump, haitawezekana kwa sababu ya uchumi wa dunia. Ni taahira pekee anayeweza kusema jambo hilo litawezekana
Sio kwa Hormuz. Wewe jidanganye kama Russia na China wataruhusu USA awazuie.Huoni huko venezuela meli za China na Russia zilivyosalimu amri mkuu?
The big brother is watching
Masharti ni yale yale tu upite kwa amri ya iran ule chuma au upitishe ngarawa zako anganiinachukuliwa kama njia ya kimataifa (international strait) hivyo ina hadhi maalumu na huwezi kuifunga kiholela
Dogo naona huiamini bibilia ya Paulo si alisema atakaye igusa nchi ya israel atamdhuru mbona hilo taifa teule lenu linasaidiwa na America sasaila Iran anayefadhili makundi ya kigaidi kama Hezbollah,na anayetishia kila mara kuifuta Israel sio mleta vita
Kwa amani usalama na maslahi ya dunia Israel inatakiwa ifutweila Iran anayefadhili makundi ya kigaidi kama Hezbollah,na anayetishia kila mara kuifuta Israel sio mleta vita
Acha kudanganya watuChina na India ndiyo wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Iran huyu Russia sio mnunuzi wa mafuta ya Iran.
China kama kawaida hawa ni watu wa diplomatic, Kwakifupi kama hii mbinu mpya ya marekani itatiki basi tutegemee Iran kuanguka yenyewe.
Tukumbuke hapa hakuna kurushiana mabomu wala mizinga hapa imetumika Akili kubwa ya Kiuchumi...Acha tusubiri tuone itakuaje
Week 6Muda mfupi alisema ni masaa Siku miezi au mwaka?
Utaanza kufutwa weweKwa amani usalama na maslahi ya dunia Israel inatakiwa ifutwe
Vumilia tu dogoUtaanza kufutwa wewe
Vumilia wewe ,Vumilia tu dogo