Huyu Trump ni chizi. Aidhibiti Hormuz kwani ipo kwenye mamlaka yake ya kijiografia? Aache dharau.Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran.
Trump amesema kupitia ujumbe wake katika mtandao wa Truth Social kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani litachukua hatua hiyo baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu yaliyofanyika Islamabad, Pakistan, kushindwa kufikia makubaliano pamoja na mambo mengine, kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.
Ameongeza kuwa mazungumzo hayo yalivunjika kwa sababu Iran “haiko tayari kuachana na malengo yake ya nyuklia,” akisisitiza kuwa Washington ilihudhuria mazungumzo hayo kwa nia ya kutafuta suluhu ya kudumu.
Hatua hiyo inakuja wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukiendelea kuongezeka, huku juhudi za kidiplomasia za muda mrefu zikishindwa mara kadhaa kufanikisha makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran.
Mlango Bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya kimkakati inayopitisha sehemu kubwa ya mafuta ya dunia kutoka Mashariki ya Kati, na hatua ya Marekani inaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa masoko ya nishati na usafirishaji wa kimataifa.
Naona umeanza taarabu kama kawaida yako myaudi wa jfVumilia wewe ,
Allah mwenyewe anawaogopa Israel itakuwa wewe muuza alkasusu
US ameshindwa kwenye vita atakujashinda kwa maneno, Trump ni saa mbovu siku 1 anatoa matamko tele yenye kukinzana hajulikani anatafuta niniRais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran.
Trump amesema kupitia ujumbe wake katika mtandao wa Truth Social kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani litachukua hatua hiyo baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu yaliyofanyika Islamabad, Pakistan, kushindwa kufikia makubaliano pamoja na mambo mengine, kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.
Ameongeza kuwa mazungumzo hayo yalivunjika kwa sababu Iran “haiko tayari kuachana na malengo yake ya nyuklia,” akisisitiza kuwa Washington ilihudhuria mazungumzo hayo kwa nia ya kutafuta suluhu ya kudumu.
Hatua hiyo inakuja wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukiendelea kuongezeka, huku juhudi za kidiplomasia za muda mrefu zikishindwa mara kadhaa kufanikisha makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran.
Mlango Bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya kimkakati inayopitisha sehemu kubwa ya mafuta ya dunia kutoka Mashariki ya Kati, na hatua ya Marekani inaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa masoko ya nishati na usafirishaji wa kimataifa.
Kaa kwa kutulia mpate sindanoNaona umeanza taarabu kama kawaida yako myaudi wa jf
Magaidi wote lazima muwahishwe kwa Mabikira 72 na mito ya pombeVumilia tu dogo
Taarabu zenu watu washazizoeaKaa kwa kutulia mpate sindano
Unawaonea wivu hao bikra 72 mzee au???Magaidi wote lazima muwahishwe kwa Mabikira 72 na mito ya pombe
Sema malaya 72 na mito ya pombe ya AllahUnawaonea wivu hao bikra 72 mzee au???
Hahahaha 😆😆😆😆😆Mkuu PureView zeiss huku bado ni pakubwa sana kwako cha kukushauri jikite tu kwenye uchambuzi wa magari hasa ya subaru forester maana ndipo ulipo bobea sana.
😁😁😁Mkuu india iliacha zamani sana kununua mafuta ya irani 🇮🇷Hahahaha 😆😆😆😆😆
Mkuu unataka uchambuzi gani tena ili uelewa?
Usimfananishe Magufuli na vitu vya kipuuzi.Trump anachoongea anamaanishaga ni watu dizaini ya Magufuli.