Trump asema Netanyahu hataweza kuikokota Marekani kupigana na Iran

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !

Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe Netanyahu hataweza kuikokota nchi yake kuingia vitani na Iran kwa matakwa yake.

Na kwa kweli baada ya kumtosa Zelensky na kugombana na Ulaya washirika wa NATO aliyebaki ilikuwa ni Netanyahu peke yake.

Akihojiwa na gazeti la Times of Israel,raisi Trump ametoa siri kwamba huko nyuma Netanyahu alijaribu sana kumlazimisha aingie vitani na Iran na kwa vigezo vyake akaono hakuna haja.

Maelezo ya Trump yana maana nyingi na moja kati yao yanaunga mkono kuwa tatizo la Israel la sasa ni misimamo ya mayahudi wachache wenye chuki kupitiliza kwa waislamu na wakristo na kwamba Netanyahu anaeneleza vita kulinda matakwa yake ya kisiasa.

Maana ya pili ni kuwa kama vita na uchokozi wa Israel chini ya Netanyahu hautamalizika mapema basi hana ulinzi dhidi ya Syria,Hizbullah,Yemen na Uturuki.

Trump: Israel won’t drag us into war with Iran, but we’ll lead the pack if no deal made​

Kama viongozi wa mama Afrika hawajajifunza kujitegemea kutokana na utawala wa Trump, watakuja kuwapata shida huko mbeleni pamoja na raia wao.

Ukimtegemea tajiri halafu akawa haeleweki kama Trump atakuyumbusha kwelikweli. Anaweza sema lala chini nikuchape viboko ili nikupe pesa.
 
Si unaona anavyowafanyia Iran.Eti kama hamtaki kuvunja vinu vyenu vya nyuklia kwa mazungumzo basi tutawapiga.Raisi gani anayekosa akili na hekima kiasi hicho
 
Trump ameamua kutotabirika naona..
 
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !

Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe Netanyahu hataweza kuikokota nchi yake kuingia vitani na Iran kwa matakwa yake.

Na kwa kweli baada ya kumtosa Zelensky na kugombana na Ulaya washirika wa NATO aliyebaki ilikuwa ni Netanyahu peke yake.

Akihojiwa na gazeti la Times of Israel,raisi Trump ametoa siri kwamba huko nyuma Netanyahu alijaribu sana kumlazimisha aingie vitani na Iran na kwa vigezo vyake akaono hakuna haja.

Maelezo ya Trump yana maana nyingi na moja kati yao yanaunga mkono kuwa tatizo la Israel la sasa ni misimamo ya mayahudi wachache wenye chuki kupitiliza kwa waislamu na wakristo na kwamba Netanyahu anaeneleza vita kulinda matakwa yake ya kisiasa.

Maana ya pili ni kuwa kama vita na uchokozi wa Israel chini ya Netanyahu hautamalizika mapema basi hana ulinzi dhidi ya Syria,Hizbullah,Yemen na Uturuki.

Trump: Israel won’t drag us into war with Iran, but we’ll lead the pack if no deal made​

Ki Babu kilijidai kwenda kichwa kichwa Yemen kuisaidia Israel kimejikuta kinapoteza Carriers sa kaona Israel nia yake ni kuiangusha America 🤣
 
Iran akitaka asisumbuliwe na yeyote awe na nyuklia na aitest tu kama alivyofanya North Korea.
Mwanzoni walimsumbua sana N.Korea mara mazungumzo mara kutishia kumpiga etc. Lakini alivyotest nuclear tu umesikia tena kelele za kumuandama? Sasa hivi N. Korea inaheshimika kama Russia tu
 
Kweli usemacho lkn Iran imedukua Wapinzani wake inajua uwezo wao!!!

ndiomana ikaona kwasasa akuna aja ya kumiliki Nuclear !!!

mana ina program ya makombora high level akuna wakuyazuiya !!!

tumeona uwezo wake ktk promiss 2 !!

na bado Iran inadai icho cha mtoto!!!!!!!
 
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !

Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe Netanyahu hataweza kuikokota nchi yake kuingia vitani na Iran kwa matakwa yake.

Na kwa kweli baada ya kumtosa Zelensky na kugombana na Ulaya washirika wa NATO aliyebaki ilikuwa ni Netanyahu peke yake.

Akihojiwa na gazeti la Times of Israel,raisi Trump ametoa siri kwamba huko nyuma Netanyahu alijaribu sana kumlazimisha aingie vitani na Iran na kwa vigezo vyake akaono hakuna haja.

Maelezo ya Trump yana maana nyingi na moja kati yao yanaunga mkono kuwa tatizo la Israel la sasa ni misimamo ya mayahudi wachache wenye chuki kupitiliza kwa waislamu na wakristo na kwamba Netanyahu anaeneleza vita kulinda matakwa yake ya kisiasa.

Maana ya pili ni kuwa kama vita na uchokozi wa Israel chini ya Netanyahu hautamalizika mapema basi hana ulinzi dhidi ya Syria,Hizbullah,Yemen na Uturuki.

Trump: Israel won’t drag us into war with Iran, but we’ll lead the pack if no deal made​

Indirectly, Trump kaiogopa Iran kimtindo. Tianeni upumbavu kwa thinking hiyo.
 
Iran akitaka asisumbuliwe na yeyote awe na nyuklia na aitest tu kama alivyofanya North Korea.
Mwanzoni walimsumbua sana N.Korea mara mazungumzo mara kutishia kumpiga etc. Lakini alivyotest nuclear tu umesikia tena kelele za kumuandama? Sasa hivi N. Korea inaheshimika kama Russia tu
Iran wanaweza kutest Nuclear lakini tatizo Ayatollah alitoa fatwa mpaa atoe fatwa tena ya kuhalalisha ndio wata test. Hao wameisha test Nuclear kisiri siri wengine wanasema.
 
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !

Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe Netanyahu hataweza kuikokota nchi yake kuingia vitani na Iran kwa matakwa yake.

Na kwa kweli baada ya kumtosa Zelensky na kugombana na Ulaya washirika wa NATO aliyebaki ilikuwa ni Netanyahu peke yake.

Akihojiwa na gazeti la Times of Israel,raisi Trump ametoa siri kwamba huko nyuma Netanyahu alijaribu sana kumlazimisha aingie vitani na Iran na kwa vigezo vyake akaono hakuna haja.

Maelezo ya Trump yana maana nyingi na moja kati yao yanaunga mkono kuwa tatizo la Israel la sasa ni misimamo ya mayahudi wachache wenye chuki kupitiliza kwa waislamu na wakristo na kwamba Netanyahu anaeneleza vita kulinda matakwa yake ya kisiasa.

Maana ya pili ni kuwa kama vita na uchokozi wa Israel chini ya Netanyahu hautamalizika mapema basi hana ulinzi dhidi ya Syria,Hizbullah,Yemen na Uturuki.

Trump: Israel won’t drag us into war with Iran, but we’ll lead the pack if no deal made​

Wakristo ndio wahanga wakuu kwa kila mkorofi. Waislam wanawawinda kuwauwa na wayahudi pia. Sijawahi kusikia Mkristo anaanzisha vita na yeyote duniani. Kwa maana hiyo Imani ya kweli ni ukristo usioleta madhara kwa mwingine.
 
Iran akitaka asisumbuliwe na yeyote awe na nyuklia na aitest tu kama alivyofanya North Korea.
Mwanzoni walimsumbua sana N.Korea mara mazungumzo mara kutishia kumpiga etc. Lakini alivyotest nuclear tu umesikia tena kelele za kumuandama? Sasa hivi N. Korea inaheshimika kama Russia tu
Hivi Bado Unaamini Iran hana Nyuklia!!
 
Mzee anaona hana maslahi yoyote atakayoyapata kwenye vita hiyo.
Ni ngumu sana kupenyeza hata makombora Iran kwa sababu ya kijiografia ya nchi

Naona mwisho wa Wazungu na akili yao ya biashara inakaribia mwisho, na sasa Wachina na wengine wanakuja kwa kasi sana

Bahari wanaachiwa wao, sasa ni mwendo wa nchi kavu tu.
Mchina anajenga reli toka Iran mpaka Beijing ili kusafirisha mafuta

Waache wazungu wapigwe na kitu kizito sasa
 
Back
Top Bottom