Trump asema Netanyahu hataweza kuikokota Marekani kupigana na Iran

Si unaona anavyowafanyia Iran.Eti kama hamtaki kuvunja vinu vyenu vya nyuklia kwa mazungumzo basi tutawapiga.Raisi gani anayekosa akili na hekima kiasi hicho
Kuna watu wanamdanganya trump kuwa bado usa ni namber one huku china huku iran kumbe mambo yamebadilka sana huko nje
 
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !

Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe Netanyahu hataweza kuikokota nchi yake kuingia vitani na Iran kwa matakwa yake.

Na kwa kweli baada ya kumtosa Zelensky na kugombana na Ulaya washirika wa NATO aliyebaki ilikuwa ni Netanyahu peke yake.

Akihojiwa na gazeti la Times of Israel,raisi Trump ametoa siri kwamba huko nyuma Netanyahu alijaribu sana kumlazimisha aingie vitani na Iran na kwa vigezo vyake akaono hakuna haja.

Maelezo ya Trump yana maana nyingi na moja kati yao yanaunga mkono kuwa tatizo la Israel la sasa ni misimamo ya mayahudi wachache wenye chuki kupitiliza kwa waislamu na wakristo na kwamba Netanyahu anaeneleza vita kulinda matakwa yake ya kisiasa.

Maana ya pili ni kuwa kama vita na uchokozi wa Israel chini ya Netanyahu hautamalizika mapema basi hana ulinzi dhidi ya Syria,Hizbullah,Yemen na Uturuki.

Trump: Israel won’t drag us into war with Iran, but we’ll lead the pack if no deal made​

Si uhamie kwa hao ndg zako huko uarabuni? Yaani mtu mweusi ndiyo maana anadharaulika. Mwarabu anavyomchukia, kumbagua na kumdharau mtu mweusi lakini kuna wengine wanashinda kukesha kuwatetea waarabu wakiamini ni ndg zao. Ni ukweli kwamba watu weupe wamewazidi weusi ktk kila kitu
 
Mzee anaona hana maslahi yoyote atakayoyapata kwenye vita hiyo.
Ni ngumu sana kupenyeza hata makombora Iran kwa sababu ya kijiografia ya nchi

Naona mwisho wa Wazungu na akili yao ya biashara inakaribia mwisho, na sasa Wachina na wengine wanakuja kwa kasi sana

Bahari wanaachiwa wao, sasa ni mwendo wa nchi kavu tu.
Mchina anajenga reli toka Iran mpaka Beijing ili kusafirisha mafuta

Waache wazungu wapigwe na kitu kizito sasa
Hiii kitu Hatari kutoka Iran to China na Sisi Afrika tutafikiwa na Mchina kupitia reli son tu.
 
Si uhamie kwa hao ndg zako huko uarabuni? Yaani mtu mweusi ndiyo maana anadharaulika. Mwarabu anavyomchukia, kumbagua na kumdharau mtu mweusi lakini kuna wengine wanashinda kukesha kuwatetea waarabu wakiamini ni ndg zao. Ni ukweli kwamba watu weupe wamewazidi weusi ktk kila kitu
Kaka Be free kunywa maji embu twambia ukiacha pembeni ulokole wako kwasasa Duniani wanaotuumiwa kunakulaaniwa kwa Ubaguzi wa langi ni nani kati ya MZUNGU na Mwarabu tuanzie apo ?????
 
Watu wausi Waislam ndio wanawajua vizuli Waarabu kuliko ww uliekalilishwa!!!!

ndiomana awawashutumu kwa Ubaguzi wa langi zaid ya chuki zako!!!!

kunatokea tu matukio ya kibinadamu machache Kuusu wafanyakazi ambao tunajua ni tukio lkn sio mfumo elekezi !!!

ata wafanyakazi wa kike wapo wanauwa waajiri wao watoto w waajili wao wanaweka mikojo kwenye Chakula adi mavi tena apa apa kwetu TZ zipo clip matukio aya uwezi kudai Sababu ni Ubaguzi wa langi tatizo uwezo wa Akili mtu usika popote alipo ata awe Mwarabu!!!!

SASA Wazungu ni mfumo wa Serikali unakuwa wa kuwabagua Weusi mbaya zaid ww unadai wenzio wanashinda kuwatetea Waarabu !!!!

naww je wewe sio tu kutetea Mzungu lkn mbaya zaid nyie mnamwabudu kabisaa Mzungu kama Mungu wenu !!!!!!

uku anawabagua kwa langi zenu!!!!!!!!!!

akuumbe yeye nayeye tena akubague langi yako!!!!!!!!!!!!! Kaz ipo yesuuuuu!! Kwaninii isiwee munguuuu sina tatizo na wanaobabu munguuu sio yesuuuu mwenye akili tu ndio atanielewa!!!

Ufafanuzi kidogo mfano Allah kiarabu manake ni MUNGU GOD sasa YESU ninini au nani ???

Jibu PAPA wote wazungu Malaika wote WAZUNGU Watakatifu wote WAZUNGU au unataka kusema MARIA mmatumbi !!!!
 
Iran wanaweza kutest Nuclear lakini tatizo Ayatollah alitoa fatwa mpaa atoe fatwa tena ya kuhalalisha ndio wata test. Hao wameisha test Nuclear kisiri siri wengine wanasema.
North Korea walitest nyuklia yao kimtindo.
Walifanya mazungumzo na kumdhihaki Trump kwamba sasa ndio wanaua huo mpango wa nyuklia na siku fulani ndio wanavunja vinu vyote.
Loo! siku ilipofika dunia ikiwa live inaangalia akaporomosha milima kuwa vumbi.Trump na wenzake wakajua hakuna bomu linaloweza kufanya kazi hiyo mbali na nyuklia yenyewe
 
Dunia ime changamka,
Congo vs m23
Israel vs gaza & hezibolla
Russia vs ukraine
India vs pakistan
Syria vs mercenaries
Kwa Israel rekebisha isomeke: Israel vs Hamas,West-Bank,Hezbollah,Houth &Iran.
 
Watu wausi Waislam ndio wanawajua vizuli Waarabu kuliko ww uliekalilishwa!!!!

ndiomana awawashutumu kwa Ubaguzi wa langi zaid ya chuki zako!!!!

kunatokea tu matukio ya kibinadamu machache Kuusu wafanyakazi ambao tunajua ni tukio lkn sio mfumo elekezi !!!

ata wafanyakazi wa kike wapo wanauwa waajiri wao watoto w waajili wao wanaweka mikojo kwenye Chakula adi mavi tena apa apa kwetu TZ zipo clip matukio aya uwezi kudai Sababu ni Ubaguzi wa langi tatizo uwezo wa Akili mtu usika popote alipo ata awe Mwarabu!!!!

SASA Wazungu ni mfumo wa Serikali unakuwa wa kuwabagua Weusi mbaya zaid ww unadai wenzio wanashinda kuwatetea Waarabu !!!!

naww je wewe sio tu kutetea Mzungu lkn mbaya zaid nyie mnamwabudu kabisaa Mzungu kama Mungu wenu !!!!!!

uku anawabagua kwa langi zenu!!!!!!!!!!

akuumbe yeye nayeye tena akubague langi yako!!!!!!!!!!!!! Kaz ipo yesuuuuu!! Kwaninii isiwee munguuuu sina tatizo na wanaobabu munguuu sio yesuuuu mwenye akili tu ndio atanielewa!!!

Ufafanuzi kidogo mfano Allah kiarabu manake ni MUNGU GOD sasa YESU ninini au nani ???

Jibu PAPA wote wazungu Malaika wote WAZUNGU Watakatifu wote WAZUNGU au unataka kusema MARIA mmatumbi !!!!
Mahmud Abbas hakukosea alipowaita “wana wa Mbwa!!!”
 
Alikosea na mwenyewe amejua ndio maana tangu akosolewe ameufyata.
Huyo ni Rais wa Mamlaka hawezi kupayukapayuka kila wakati yeye kawapa vidonge vyao wameze wasimeze wao ni “Wana wa Mbwa tu”
 
Hiii kitu Hatari kutoka Iran to China na Sisi Afrika tutafikiwa na Mchina kupitia reli son tu.
Na ameahidi hivyo, ipo ya Europe mpaka China , na kwa Russia ipo Trans-Manchurian Railway toka China.
Na Singapore to China nayo inapiga kazi

Ipo siku watajenga tu
Hapo mzungu ataachwa mbali na ubabe wake
Yeye kazifanya bahari kama zake ila hakuwqza barabara kabisa

Kwanza ni gharama ndogo
 
North Korea walitest nyuklia yao kimtindo.
Walifanya mazungumzo na kumdhihaki Trump kwamba sasa ndio wanaua huo mpango wa nyuklia na siku fulani ndio wanavunja vinu vyote.
Loo! siku ilipofika dunia ikiwa live inaangalia akaporomosha milima kuwa vumbi.Trump na wenzake wakajua hakuna bomu linaloweza kufanya kazi hiyo mbali na nyuklia yenyewe
Nategemea hata Iran watatest Nuclear karibu kuna wengine wanasema wameisha test
 
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !

Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe Netanyahu hataweza kuikokota nchi yake kuingia vitani na Iran kwa matakwa yake.

Na kwa kweli baada ya kumtosa Zelensky na kugombana na Ulaya washirika wa NATO aliyebaki ilikuwa ni Netanyahu peke yake.

Akihojiwa na gazeti la Times of Israel,raisi Trump ametoa siri kwamba huko nyuma Netanyahu alijaribu sana kumlazimisha aingie vitani na Iran na kwa vigezo vyake akaono hakuna haja.

Maelezo ya Trump yana maana nyingi na moja kati yao yanaunga mkono kuwa tatizo la Israel la sasa ni misimamo ya mayahudi wachache wenye chuki kupitiliza kwa waislamu na wakristo na kwamba Netanyahu anaeneleza vita kulinda matakwa yake ya kisiasa.

Maana ya pili ni kuwa kama vita na uchokozi wa Israel chini ya Netanyahu hautamalizika mapema basi hana ulinzi dhidi ya Syria,Hizbullah,Yemen na Uturuki.

Trump: Israel won’t drag us into war with Iran, but we’ll lead the pack if no deal made​

Ustadh ubwabwa
 
IAEA wanasema Nuclear ya Iran hata B2 haiwezi kuigusa mwacheni Trump atafute ushindi wa kujisifu.

Hilo MOP haliendi za ya 600 meter wakati Fawdar nuclear facility ipo chini ya 900 meter to 1 km ndio sababu Iran anawambia tulihamisha kila kitu hahaha.
 
Endeleeni kujifariji lakini kazi imeisha chongoeni tu midomo yenu!!!!
 
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !

Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe Netanyahu hataweza kuikokota nchi yake kuingia vitani na Iran kwa matakwa yake.

Na kwa kweli baada ya kumtosa Zelensky na kugombana na Ulaya washirika wa NATO aliyebaki ilikuwa ni Netanyahu peke yake.

Akihojiwa na gazeti la Times of Israel,raisi Trump ametoa siri kwamba huko nyuma Netanyahu alijaribu sana kumlazimisha aingie vitani na Iran na kwa vigezo vyake akaono hakuna haja.

Maelezo ya Trump yana maana nyingi na moja kati yao yanaunga mkono kuwa tatizo la Israel la sasa ni misimamo ya mayahudi wachache wenye chuki kupitiliza kwa waislamu na wakristo na kwamba Netanyahu anaeneleza vita kulinda matakwa yake ya kisiasa.

Maana ya pili ni kuwa kama vita na uchokozi wa Israel chini ya Netanyahu hautamalizika mapema basi hana ulinzi dhidi ya Syria,Hizbullah,Yemen na Uturuki.

Trump: Israel won’t drag us into war with Iran, but we’ll lead the pack if no deal made​

Endelea kula matapishi yako sasa!!!!
 
Endeleeni kujifariji lakini kazi imeisha chongoeni tu midomo yenu!!!!
Kazi imeisha sio kwa hio USA akae pembeni atuwachie Israel tumtie adabu.

We tulizana tu takukumbusha hapa US utasikia anamba kuongea na Iran kuhusu Nuclear program yake mda sio mrefu atagundua hakuna alicho pata ni hasara tu
 
Back
Top Bottom