Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine

Hii umetoa wapi?
 
Zile kelele za USA mifumo ndo inaendesha nchi, wenzetu wanalolifanya leo lilishapangwa miaka 20 iliyopiya na raisi ni mzimamizi tu tuziache sasa.

Tumeshajionea.
Asee hii point kubwa sana. Baada ya hii U turn iliyopigwa na US ni uhakika kwamba raisi aliyepo madarakani ndio anaamua afuafe uelekeo gani hakuna cha system wala nini.
 
Nyie wana ccm bhana 🤣🤣🤣🤣
 
Huu ujinga ulikuwa unazungumzwa sana humu, ooh nchi inaendeshwa kwa mifumo sijui mpaka congress wakubali🤣!!!
Sahizi hakuna cha Congress wala mavuzi, raisi ndiye final say popote pale duniani🤣
 
Zile kelele za USA mifumo ndo inaendesha nchi, wenzetu wanalolifanya leo lilishapangwa miaka 20 iliyopiya na raisi ni mzimamizi tu tuziache sasa.

Tumeshajionea.
🤣🤣🤣🤣🤣 Utasikia kule mpaka Congress ipitishe, raisi hana maamuzi ya moja kwa moja bila Congress. Funzo: Raisi ndio final say hio mifumo ni porojo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…