Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine

Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine

Fisi ujue hajali wala hajui wengine wanamuoanaje.
😂😂😂 unapiga kwenye mshono sana bro , ngoja wakubebe mzobe mzobe, utayatapiga hayo makande😂😂
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza... Zelensky mpumbavu atengwe ikiwezekana anyongwe.

Kailetea Marekani hasara kubwa pamoja na nchi yake
kosa la Zelesky ni nini kumbuka amevamiwa na ni haki kujitetea sema sisi wa Africa tunaongwa na hisia na ushabiki hata kama Putin ana makosa mnakuwa vipofu kwake mnamhukumu mwathiriwa na kumsifia mvamizi anaepora ardhi ya watu na kuua watu wa Ukraine tujitahidi kusimamia haki na ukweli
 
Makubaliano ni kwamba nchi zilizo karibu na urusi zisiungwe nato ili wasisogeze silaha karibu yake.
Kama ambavyo marekani asingeweza kukubali mrusi apeleke silaha oale cuba. Bwana zele akadhani kwamba atasaidiwa na hao waliosaidia kuangusha serikali iliyokuwa inaunga mkono urusi
 
Back
Top Bottom