Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine

Kwani ukrain waliwaomba si walijitolea kwa usalama wao na wa usa pia
 
Hakwenda kumpigia kampeini Kamala; na wewe usidakie maneno usiyojua. JD Vance anaongea uwongo na wewe unaurudia.

Zelensky alikwenda Scranton kutembelea kiwanda cha mizinga tarahe 23 September na kukuta Kamala akiwa kwenye kampeini zake huko, hivyo akaongea naye. Yeye hakusimama jukwaani kusema watu wampigie Kamala, bali ni Kamala ayesema kwenye press kuwa akichaguliwa ataendelea kuisaidianUkraine. Alipotoka huko akaenda kumtembelea Trump tarehe 28 September naye akiwa kwenye kampein New York; akaongea naye wakiwa Trump Tower.
 
Ww ndo unaangalia mambo kwa jicho la tatu .. ukubww wa usa huwezi kuutofautisha na Eu . Eu ikianguka usa lazima awe weak kuwenye kushinikiza vikwazo vyake
 
Na kujitoa kwenye misaada na mashirika ya kidunia walipanga lini? Mkuu, hapa ni Trump kaja na maono yake.
Lakini vyote alivyo vifanya vipo ndani ya mamlaka yake kwa mujibu wa katiba yao.
Tungejua kuwa Trump yuko juu ya mfumo iwapo angekuwa anafanya mambo yaliyo nje ya mamlaka yake.
 
Ukraine wapigane tu, kama watashindwa ndio uanaume huo, lakini wasiache ardhi yao ikachukuliwa kienyeji kwasababu ya vitisho vya USA.
 
Mona kama unajipinga mwenyewe. Mambo yako wazi marekani anataka alipwe garama alizotumia ukraine kwa njia ya madini. Hakuna cha bure.
 
Lakini vyote alivyo vifanya vipo ndani ya mamlaka yake kwa mujibu wa katiba yao.
Tungejua kuwa Trump yuko juu ya mfumo iwapo angekuwa anafanya mambo yaliyo nje ya mamlaka yake.
OK mkuu. Sikusema ni mvunja katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…