Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine

Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine

Wivu, wizi na unafiki ndio umemjaa Trump. Hayo yote yanakuja baada ya Zelensky kukataa deal la Trump kutaka kufyeka rasimali za Ukraine kwa sharti la kumsaidia.
Ukirudisha kumbukumbu nyuma za Trump hata kabla ya kampeni, alikua hataki vita kati ya Moscow na Kyive baada ya kuanza kampeni things were worse concern war btn Russia and Ukraine so kwa mtazamo wangu, sidhani kama Trump kafanya hivo kwasababu ya mkutano wao wa juzi, ni kama kaipata sababu ya kusitisha vita; remember ni wiki kama 3 zilizo pita, yeye na Putin wamekua na vikao vingi, physical and zoom meetings achilia mbali kupigiana simu kwa 2 hao, jamaa halitaki vita, halipendi kuona pesa za USA zinafadhiri vita; madini imekua sababu tu. Swali langu ninalo jiuliza, wale wahafidhina wenye viwanda vya silaha pale USA and other parts of the world wanamfurahia Trump na uamuzi wake? I doubt, ngoja tusubiri
 
Zile kelele za USA mifumo ndo inaendesha nchi, wenzetu wanalolifanya leo lilishapangwa miaka 20 iliyopiya na raisi ni mzimamizi tu tuziache sasa.

Tumeshajionea.
Badoe USA inaendeshwa kwa mifumo, kwenye suala hili utaona kabisa kwamba Trump kabla ya kutoa Misimamo hii hadharani amefanya kwanza vikao vya ndani na Maafisa Waandamizi wa Serikali hiyo ya Marekani ili kupata kwanZa ridhaa yao. Hajakurupuka katika kutoa maamuzi hayo.

Aidha, hata suala lenyewe hili linahusisha masuala ya Haki za watu ambao siyo raia wa nchi hiyo ya Marekani, ni suala la WATU wa Ukraine siyo suala linalowahusu moja kwa moja raia wa Marekani. Ndio maana unaona kwamba Trump hapati Upinzani mkali Sana kutoka kwa raia wa nchi yake. Endapo kama suala hilo lingekuwa linaathiri Haki za watu wa Marekani, mpaka Sasa Trump angekuwa tayari amepingwa vikali Sana kwa kufunguliwa Kesi Mahakamani ili kupinga Uamuzi wake huo.
 

President Trump ordered a "pause" to all US military aid to Ukraine​

Hal Turner World
At 7:27 PM eastern US time today, 03 March 2025, President Donald Trump ordered a "Pause" to all United States military aid going to Ukraine.
It is not yet clear if this "pause" applies to aid that was promised under Biden, but has not yet shipped.
It is also not clear if this "pause" in "aid" includes US Reconnaissance, Intelligence, Satellite information, encrypted communications, STARLINK, or other "soft" assistance.
It appears this may be the Coup de grâce for Ukraine. Without US military supplies, their army cannot continue on the battlefield more than a week or two.
(Coup de grâce is a French phrase that means "blow of mercy" or "stroke of grace". It's used to describe a death blow that ends the suffering of an animal or person who is severely injured. It can also refer to a decisive or finishing stroke.)

UPDATE 8:20 PM EST --
NATO is logistically weak — so weak that Trump could shut down not just U.S. deliveries, but most of Europe’s.
The U.S. provides most of NATO’s airlift, sealift, fuel, and coordination.
Even Europe’s rail and roads can’t handle heavy armor. Without U.S. logistics NATO will grinds to a halt.

UPDATE 8:27 PM EST --
It is now CONFIRMED: All U.S. military "aid" which is not already inside Ukraine, is PAUSED, including weapons and ammunition which is in-transit or on ships or planes, or waiting in transit areas in Poland or Romania. EVERYTHING IS PAUSED.
Based on information that I have from various sources, Ukraine's Army will grind to a halt almost immediately.
 
Ww kama umeanza kufatilia siasa za kimataifa mwaka 2020 unaweza ukawa sawa.
Lakini kama ni mfuatiliaji wa sera ya nje ya Marekani huwezi kushangazwa na yanayo ikuta Ukraine.
Marekani iliikimbia na kuitelekeza serikali ya kipebari ya Vietnam baada ya kuzidiwa kwenye uwanja wa vita na mwishowe Vietnam yote ikangukia kwa wakomonist .
Marekani ali itelekeza serikali ya Afghanistan na mwisho wa siku ikaangukia mikononi mwa Talban ambayo walitumia zaidi ya $4tirion kuiondoa madarakani.
Marekani aliivamia Libya kwa kisingizio cha kupeleka baadae akaitelekeza na mpaka sasa haitawaliki.
Sasa ni kipi kinacho washangaza kwa Ukraine?
Mkuu tuachane na mbwembwe, Tuambie hichi kinachoendelea ni mipango ya miaka mingapi nyuma ya system ya USA? Umesema Trump ni chambo tu, mambo yalishapangwa. Sasa When? How? Why?
 
Halafu deni liko pale pale bado marekani atamdai ukraine mabilion aliyotumia wakati wa vita. Na je ulaya itamsapoti mpaka aweze kumshinda mrusi? Ulaya ikiungana na ukraine dhidi ya urusi na china itaungana na urus ndo kitaumana wakati huo mmarekani amdkaa pembeni anaangalia hiyo movie,
CHINA Hana huo ujinga wa kupigana vita
 
Usishangae marekani ikaanza kuipa silaha urusi ili imtandike ukreini
 
Triump nae kama mwendazake TU
Tofauti Yao ni kuwa triump anatoka nchi tajiri
 
Kuna neno wote kwenye comment yangu mkuu?
Kenge mtu!

Screenshot_20250304_143918_Edge.jpg
 
Mpwa ubishi kusaini mkataba WA bulllshit mpwa pls

UNATAKA aman uchukue madini yanguu

Shenziyakee

.......naaaa
Hutaki nichukue madini yako ila ww unataka kuchukua pesa zangu?
 
Mkuu tuachane na mbwembwe, Tuambie hichi kinachoendelea ni mipango ya miaka mingapi nyuma ya system ya USA? Umesema Trump ni chambo tu, mambo yalishapangwa. Sasa When? How? Why?
Hapa sio swala la miaka mingapi hapa ni suala la kuona kuwa hivi vita tuliyo jiingiza imeenda nje ya matarajio yetu , hivyo tutafute namna ya kuondoka ili mwisho wa siku tusipate aibu.
 
Back
Top Bottom