Hawa ni mabeberu weusi mkuu!Kwann wachina hawakusema mapema kuhusu chroloquine au ni wachoyo wataarifa mpka Marekani aje aseme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni hatari.Hii technique matata sana.
Ilkuwa unalimeza kwa kasi ya ajabu lkn ukikwama kinayeyukia kooni.
Hapo mtiti wake ni masaa 8 ya uchungu mdomoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo dawa ina SULPHUR?Nyani Ngabu,
Huyu Trump asitake kunikumbusha msteso ya Cloroquin, nani anataka habari za kuwashwa hadi kuji middle finger mbele za watu?
Ni maoni yake na siyo utafiti broelishilia,
Dr. Fauci kasema. Hakuna suala la ‘yawezekana kasema kweli’ au la.
Video hiyo hapo.
Unaweza kuiangalia yote.
Ila, anaposema hakuna tiba iliyothibitishwa ni kuanzia dakika ya 2:44.
Walisema tangia mwezi wa pili au wa kwanza, mimi nilisoma sehemuKwann wachina hawakusema mapema kuhusu chroloquine au ni wachoyo wataarifa mpka Marekani aje aseme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maoni yake na siyo utafiti bro
Ni maoni yake na siyo utafiti bro
Hii dawa ilitumika hata China,Ulaya pia inatumika. USA wamefanya kufuata mkondo wa dawa zilizotumika huko china. Ila hii dawa kuna watu huwa inawawasha. Mimi sikuwahi Kabisa kuwashwa na hii dawa sema ilikuwa chungu. Sindano yake ilikuwa inanifanya nisione vizuri kwa masaa kadhaa.
Haupo eeeeh[emoji4][emoji4][emoji4]
sawaaaaa
Sent using My COVID-19
Bro hoja siyo nani hoja kasema nini lakini kuna ukweli tunaupita ya kwamba Marekani nafikiri nchi nyingi duniani,utafiti pekee hautoshi ni mpaka uidhinishwe na mamlaka.lakini pia kwa habari nilizosoma punde waingereza wanaishinikiza serikali iidhinishe chloroquine kwa majaribio.Unajua Dr. Fauci ni nani?
Bro hoja siyo nani hoja kasema nini lakini kuna ukweli tunaupita ya kwamba Marekani nafikiri nchi nyingi duniani,utafiti pekee hautoshi ni mpaka uidhinishwe na mamlaka.lakini pia kwa habari nilizosoma punde waingereza wanaishinikiza serikali iidhinishe chloroquine kwa majaribio.
Ni sawa lakini hayawezi kushinda utafiti.btw Cuba inayo dawa lakini kwa siasa za Marekani hawezi kuizungumzia.Umem-dismiss Dr. Fauci.
Dr. Fauci ni mtafiti anayeheshimika sana.
Kafanya tafiti nyingi sana kuhusu magonjwa mengi sana.
Maoni yake yana uzito wa kipekee.
Jaribu kum Google.
Dah mkuu,niko mid thirties now.Duh
Umezaliwa mwaka gani?
Hii ya Cuba ni kweli inatibu hii Corona?Ni sawa lakini hayawezi kushinda utafiti.btw Cuba inayo dawa lakini kwa siasa za Marekani hawezi kuizungumzia.
Ni sawa lakini hayawezi kushinda utafiti.btw Cuba inayo dawa lakini kwa siasa za Marekani hawezi kuizungumzia.