Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #141
ngozimbili,
Wapi hapo panaposema kwamba chloroquin inatibu corona virus?
Wapi hapo panaposema kwamba chloroquin inatibu corona virus?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The UK has banned the export of Chloroquine[13]
As of February 26, 2020, the UK government has added chloroquine to the list of medicines that cannot be parallel exported from the UK. Chloroquine was never on this list before. This likely happened because of the growing body of evidence of chloroquine’s effectiveness against coronavirus.
Mkuu sifanyi dhihaka wala siyo lengo kushindana,hili suala limesemwa sana ndani na nje ya nchi,katika watu maarufu bilionea wa Tesla Elon Musk,kuna watu twita wamemtag mpaka naibu waziri wa afya,nia ni moja tuokoe maisha ya watu.Haya nenda kiwandani ukazizalishe hizo chloroquin.
Haya nenda kiwandani ukazizalishe hizo chloroquin.
Acha porojo wewe!! Na nimehoji, sasa HAPO KATHIBITISHA nini?! Sasa wewe unataka niongelee kitu ambacho hakipo wakati ulichoweka hakuna popote alipothibitisha?! Kwanini ni-assume hicho ni kipande kidogo wakati hakuna popote uliposema kwamba hiyo ni sehemu tu ya maelezo yake?! Kwanini unataka watu wa-assume hiyo ni taarifa ya CDC wakati hakuna popote uliposema alikuwa anazungumzia taarifa ya CDC?Ndiyo maana africa ni maskini kwa ujuaji na kupinga kila kitu. Hicho ni kipande kidogo cha Video Nadhani ungeomba Full Video na Hii taarifa ameitoa leo akiwa na cdc
We kima acha umburula wewe!! Tetea hoja badala ya kukimbilia matusi!! Kwenye link ulizoweka hivi ndivyo wanasema:-Check Hii link. Afu Acha ujuaji wasomi maandazi nyinyi. Yaani kila kitu mnapinga huu ugonjwa wa kuwa na low emotional intelligence.
What's Therapeutic Treatment?! Kimsingi hapo unatibu homa; it's like unapoumwa HIV ukaambiwa uwe unatumia dawa inayotibu magonjwa nyemelezi! Kama ulikuwa kitandani na baadae ukapata nafuu baada ya kutibu magonjwa nyemelezi haimaanishi kwamba umetibu UKIMWI bali ulichotibu ni magonjwa nyemelezi! Ni kutokana na huo ukweli ndio maana hata CDC kwenye link uliyoweka wewe mwenyewe wamesema:-Recent guidelines from South Korea and China report that chloroquine is an effective antiviral therapeutic treatment against Coronavirus Disease 2019.
Wanakuambia hapo ni potential as a prophylactic (preventative) measure. Dawa kutumika as prophylactic (preventative) measure ni kama kutumia HIV antiviral ili kuzuia development to AIDS lakini sio kwamba umetibu UKIMWI! Kwa upande mwingine, WHO wameandaa document mzima in the form of Q&A na kuhusu Chloroquine, hivi wanasema:-US CDC research shows that chloroquine also has strong potential as a prophylactic (preventative) measure against coronavirus in the lab, while we wait for a vaccine to be developed.
Na usisahau zimetajwa dawa nyingi kama preventative measures, na bado zipo kwenye clinical trial lakini bado hakuna uthibitisho wa kitabibu kwamba dawa fulani inatibu COVID-19To date, there is no vaccine and no specific antiviral medicine to prevent or treat COVID-2019. However, those affected should receive care to relieve symptoms. People with serious illness should be hospitalized. Most patients recover thanks to supportive care.
Possible vaccines and some specific drug treatments are under investigation. They are being tested through clinical trials. WHO is coordinating efforts to develop vaccines and medicines to prevent and treat COVID-19.
The most effective ways to protect yourself and others against COVID-19 are to frequently clean your hands, cover your cough with the bend of elbow or tissue, and maintain a distance of at least 1 meter (3 feet) from people who are coughing or sneezing.
Jinga sana huyu jamaa! WHO wenyewe wamesema hadi sasa hakuna dawa iliyothibitishwa kutibu COVID-19 lakini mtu amekomaa na kuanza kutukana watu na ujuaji mwingi!!!Inakatisha tamaa kabisa kuwa na watu wa aina ya huyu mwanzisha mada.
Mpaka sasa corona virus haina tiba.
Trump kazungumzia majaribio ya chloroquin.
Watu wengine ni bure kabisa.
Hiyo dawa ilinitesa sana utotoni, ilikua inaniwasha balaa, navimba vimba mwili kila mahali. Noma sana ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa mabeberu wanaturudisha nyuma kunywa klorokwini,tusikubali wanataka tusizaliane ili waje kuichukua afrika (in palamagamba voice and eyes)
Hili Jambo Kuwa US Katengeneza Corona Virus Diseases 19,Lina Ukweli Gani?