Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #101
Nimesoma jinsi idadi kubwa ya wamarekani walivyompinga Trump kuhusu Chloroquine coz haijawa approved scientifically
However, Uchawi na Uganga ni Fictions tu...hakuna Uchawi wala Uganga...ni mambo ya kuwadanganya na kuwatisha watu ili kupiga pesaView attachment 1393490
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo idadi kubwa ya Wamarekani wanaompinga ni wangapi dhidi ya wale wanaomuunga mkono?
Wapingaji huwa hawakosekani. Uwepo wao ni lazima.
Na Trump hajaamua yeye mwenyewe binafsi. Ni kwa ushauri wa wana sayansi ambao wameshaona kuna nafuu fulani ambayo hiyo dawa ya chloroquin inaleta kwa wagonjwa wa hicho kirusi.
Na kitachofanyika ni majaribio kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko ilivyo kawaida.
Trump hajasema chloroquin ndo tiba ya Corona.
Sasa hao wapingaji wanapinga hadi majaribio ya dawa? Kwani dawa zingine huwa zinaanzaje kutumiwa kama huwa hazifanyiwi majaribio?
Kuna watu wao kazi yao ni kupinga pinga tu.
Trump hata kesho akigundua dawa ya kutibu hiyo corona wapo wataopinga tu.
Imagine wapo wanaomsema kwa yeye kuiita hii virus ‘the Chinese virus’ ilhali Marekani nzima zimejaa restaurants za ‘Chinese food’ na hakuna mtu ambaye huwa analalamika kwamba ukisema ‘Chinese food’ basi wewe ni racist.
Chinese food na Chinese virus vina tofauti gani?
Haya, Chinese restaurant hiyo.....nimeipiga picha sasa hivi.
Tofauti ya Chinese virus na Chinese restaurant ni nini?