Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

Nyani Ngabu,
Wachawi kazi yao ni destructive not constructive. Wakikupa dawa ya corona watakuwa wamevunja miiko yao. Na hasa hasa sahivi wako wana practice kufanya watu waumwe waonekane wako kama na corona kisha shaaa gamboshi. Ha ha ha
 
Waganga wa huku wanajua tu kutia watu mikosi na kuloga ukose hela.
 
Ndugu Nyani,

Huu uzi wako nimeupenda sana na umegusa panapo uma sana.

Wale wachawi akina Mwingira, Gwajima, mtoto wa marehemu Sheikh Yahya na waganga wa tunguli kama sheikh Zuberi au sheikh check Bob ALHAD mbona hawairogi ama kuisomea Albadiri corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi wale wa Ngulyati na Ikungulyabashashi nao wameshindwa kugundua dawa.
 
Ndugu Nyani,

Huu uzi wako nimeupenda sana na umegusa panapo uma sana.

Wale wachawi akina Mwingira, Gwajima, mtoto wa marehemu Sheikh Yahya na waganga wa tunguli kama sheikh Zuberi au sheikh check Bob ALHAD mbona hawairogi ama kuisomea Albadiri corona

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo ujue hawana lolote zaidi ya uongo!

Wao wenyewe usikute wakiumwa huwa wanaenda spitali kupata tiba!
 
Sijui kwa nini iliondolewa kwenye tiba ya malaria

Marekani bado ipo, ila kwa prescription ya tabibu!

Lakini sijui kama bado iko vilevile [chungu] au kama waliifanyia maboresho ya ladha.

Kwa kweli hiyo dawa bado inanipa jinamizi hata nikiifikiria tu.
 
Marekani bado ipo, ila kwa prescription ya tabibu!

Lakini sijui kama bado iko vilevile [chungu] au kama waliifanyia maboresho ya ladha.

Kwa kweli hiyo dawa bado inanipa jinamizi hata nikiifikiria tu.
But so effective. Nimeitumia kwa Mara ya mwisho nadhani 1991
 
Hahahaaa!

Ganga tapeli tu hao.
Ukweli kuhusu Ugonjwa Corona Virus Punguza Uoga upone
Jitibie kwa ugonjwa wa korona chukuwa kipande 1 cha Tangawizi mbichi kipondeponde kipate kulainika kisha kioshe kiwe safi kitie ndani ya sufuria kisha tia maji vikombe 2 funika kisha weka jikoni ipate kuchemka kwa moto wa kawaida ichemke kwa dakika 20 kisha opowa kamulia limao ndani yake likiwa limao kubwa kata nusu kipande cha limao kama ni limao dogo kamulia lote. Kisha chukuwa Kijiko 1 cha Asali safi mbichi korogea ndani ya hicho kikombe chenye Tangawizi kisha mchanganyiko huo kunywa Asubuhi kabla ya kula kitu mchana na usiku kila siku kwa siku 21 umepona maradhi yako. Dawa ya pili chukuwa gao la Mkono mmoja majani ya Mwarubaini weka ndani ya sufuria yenye maji glasi 2 kisha weka jikoni ipate kuchemka kwa dakika 10 kisha opowa chuja upate kunywa hayo maji tumia hiyo dawa asubuhi mchana na usiku kwa siku 14 umepona maradhi yako. Kunywa Matunda kwa wingi ,Mboga za Majani na pia unywe Maji glasi 12 kwa kila siku .Maelezo mengine angalia hiyo video hapo chini.



Ginger Protects Against Disease
Ginger is loaded with antioxidants, compounds that prevent stress and damage to your body’s DNA. They may help your body fight off chronic diseases like high blood pressure, heart disease, and diseases of the lungs, plus promote healthy aging.
Fights Germs
Certain chemical compounds in fresh ginger help your body ward off germs. They’re especially good at halting growth of bacteria like E.coli and shigella, and they may also keep viruses like RSV at bay.

Lemon
Here some of the possible benefits of consuming lemons.
  • 1) Lowering stroke risk. ...
  • 2) Blood pressure. ...
  • 3) Cancer prevention. ...
  • 4) Maintaining a healthy complexion. ...
  • 5) Preventing asthma. ...
  • 6) Increasing iron absorption. ...
  • 7) Boosting the immune system. ...
  • 8) Weight loss.
Honey
Today, proponents of honey tout its miraculous healing properties, claiming that it can prevent cancer and heart disease, reduce ulcers, ease digestive problems, regulate blood sugar, soothe coughs and sore throats, and increase athletic performance.

Neem Leaf::
Neem leaf is used for leprosy, eye disorders, bloody nose, intestinal worms, stomach upset, loss of appetite, skin ulcers, diseases of the heart and blood vessels (cardiovascular disease), fever, diabetes, gum disease (gingivitis), and liver problems. The leaf is also used for birth control and to cause abortions.Sep
hizini baadhi ya dawa ambazo nikipata Mgonjwa waMaradhi ya Corona Virus ninawezakumtibia na akapona kw amuda mchache tu.
Health-Benefits-Of-Neem.jpg


LEMON WARM WATER.jpg
 
Nyani Ngabu, Nimesoma jinsi idadi kubwa ya wamarekani walivyompinga Trump kuhusu Chloroquine coz haijawa approved scientifically

However, Uchawi na Uganga ni Fictions tu...hakuna Uchawi wala Uganga...ni mambo ya kuwadanganya na kuwatisha watu ili kupiga pesa
Screenshot_20200319-232309.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikulenga kukuona mdogo, mkuu. Nilitaka experience yako juu ya chloroquine.
Mimi hadi inasitishwa bado ilikuwa inanitibu, ila ilikuwa inaniwasha sana; hasa chloroquine injection, nikichomwa tu hiyo basi hadi wiki nzima inawasha.
Kwa upande wangu, sindano ndiyo ilikuwa hainiwashi ila vidonge ilikuwa balaa. Nakumbuka nikiwa mdogo, nikijikuna kishwani nawashwa mguuni, wakati huo huo kwenye tumbo kunawasha. Nilipokua kua nikawa naomba daktari aniandikie sindano badala ya vidonge.
 
Mi ilikuwa ikiniwasha kwenye viganja ni balaa vidonge hivi
Nalog off
 
Back
Top Bottom