Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Chief umesoma post#1?Ukiupata ukimwi au unini huo?
Umeona zinazungumzwa habari za ukimwi hapa?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief umesoma post#1?Ukiupata ukimwi au unini huo?
Toka nipate ufahamu nimechomwa sindano mara moja tu 1998 na ilikuwa hiyo Chloroquin,kutwa mara tatu.
Siji kusahau,ilifanya niogope sindano mpaka leo.
Tatizo ngeli uliyotumiaChief umesoma post#1?
Umeona zinazungumzwa habari za ukimwi hapa?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hatari sana ni mkubwa wagu alikuwa anasagia kwenye kijiko anachanganya na maji ndio ninywe utoto wangu sikuweza meza vidonge.
Uchungu wake usiupimie
Hii dawa ya malaria ilinifanya nikimbie nchi miaka ya 90 mwanzoni.
Hey Mr stinky wet pooper, got poop sticking outta your butt today?You got poked in the booty? 🤣🤣
Hey Mr stinky wet pooper, got poop sticking outta your butt today?
Hii dawa ni konyo sana tulikuwa tunatafuna kabla ya kumeza,sasa yale mabaki yake kwenye meno ni chungu balaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Must be part of your down-low lifestyle in Atlanta for you to even say something like that. Your dad fuc.ked you in the ass, and shipped you to ATL to keep the piece at home or something.You got poked in the booty till you ran to Sweden.
They didn’t poke you in the booty over there in Sverige?
Corona kwisha habari yake. Chanjo imepatikana na dawa zimepatikana, uchumi wa China unarudi na uchumi wa dunia unaimarika soon. God is good all the time
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlikuwa mnaitafuna klorikwini? Ebana eeh mna moyo...
piriton ndio kiboka yake meza kablayaan ukiwa unaakribia kupona muwasho w hiyo dawa hauithiliki na kwabahati mbaya unazidi usiku wakati wa kulala huku asikio yakiwa yamejazwa kelele usiyojua imetoka wapi