Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahasantepiriton ndio kiboka yake meza kabla
Yeye ana Jopo la Madacktari hivyo watakua wamemfahamisha hivyo.
Dawa ya kolona haitakua ya ajabu kihivyo unavyodhani. Hivyo usishangae ikatibiwa na Korolokwini tu na Asprin basi.Mad president!
Kama dengue na PanadolDawa ya kolona haitakua ya ajabu kihivyo unavyodhani. Hivyo usishangae ikatibiwa na Korolokwini tu na Asprin basi.
Usimbishie wao ndo wanijua vizuri kolona.
Ndo inarudi sasa tena kwa Majukumu makubwa zaidi.Hii Dawa nilikuwa siipendi kabisaa Yani ilikuwa inanifanya maskio yanaziba.
financial, na wewe ulishawahi kutumia chloroquine?Hii dawa nikkitaja jina tu mate yanajaa mdomoni yani[emoji849], nayakumbuka mateso yake, mwili unawasha full kujikuna,masikio hayana ushirikiano dah,ila ikitokea ndyo dawa ya Corona,ntabugia bila shuruti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni dawa mi naikubali sana ilikua inatibu kiukwelikweli na ukipona inakuachia Kinga kubwa mwilini.Mchakato wa kuiondoa Chloroquine na kuleta SP uligubikwa na makando kando sana kutoka kwa Wafanyabiashara wa Madawa na Vigogo wa Wizara ya Afya wakati huo
Ingekuwa zama hizi ingekuwa kashfa kubwa kuliko ya Tegeta Escrow
Sent using Jamii Forums mobile app
Dakika chache tu zilizopita, Rais wa Marekani Bw. Donald J. Trump, katangaza kuwa shirika la madawa la Marekani, FDA, limeruhusu dawa ya malaria, ambayo wengi wetu tumeitumia sana, kuanza kutumika katika kutibu virusi vya Corona.
Chloroquin, ndo dawa yenyewe. Matumizi yatakuwa kwenye hatua ya clinical trial.
Idadi ya vidonge vya chloroquin nilivyovimeza maishani mwangu haihesabiki. Achilia mbali sindano zake. Dozi ya sindano ilikuwa ni 1x3.
Hats off kwa “mabeberu”.
Sisi tuna wachawi wengi sana na waganga wengi tu wa kienyeji.
Kama kweli hawa wataalamu wetu wana huo ujuzi ambao hudaiwa wanao, kwa nini washindwe kwenye hili la kutibu Corona?
Heko Marekani. Mchango wake kwenye advancement of humanity hauelezeki kwa maneno.