Trump atishia kusitisha misaada ya Marekani nchini Afrika Kusini kwa kunyakua ardhi kutoka kwa baadhi ya watu

Ishu ya Goma ni kubwa sana.
Haya madini ya Congo ni makampuni mengi sana ya nchi kubwa yanafaidika nayo.
Watengenezaji wa simu na betri za magari wote wanategemea madini ya Congo.
Na Elon Musk ana sauti serikalini unategemea nini?
Kagame ni puppet wa Magharibi. It's safe to say, Kagame akiuawa ndio Congo itatulia kwa muda Hadi kibaraka mwingine apatikane.
Lakini nani wa kumfunga paka kengele.

Unaona South Africa anaanza kuwekewa vikwazo Fulani Fulani. Hiyo ni nje, behind the scene ni kwamba anaambiwa tulia au tuendelee kukuwekea vikwazo.

Kwahiyo hata ile morality ya kimchapa PK inapungua.
 
Hivi huoni aibu unakurupuka na kutunga uongo kwax jambo ambalo hulijui.

Siasa sio Simba na yanga.

Hiyo Afrika kusini yako ni kibaraka wa nchi za magharibi kuliko hata Rwanda a Congo zenyewe. Nikikumbushe jambo moja kukuthibitishia hilo:

Wakati wa maandamano ya kumpinga Gadafi nchi za,magharibi ziliona huo ndio mwanya wa kumtoa Gadafi, zikapeleka azimio Baraza la usalama la umoja wa mataifa, wakati huo Africa kusini alikuwa mjumbe wa baraza hilo kwa zamu, msimamo wa AU ( Africa Union) ulikuwa kupinga nguvu za kijeshi kutumika dhidi ya Libya na Africa kusini aliambiwa atetee msimamo huo lakini Africa kusini ilipiga kuta katika Baraza la usalama kuruhusu matumizi ya nguvu za kijeshi kumuondoa Gadafi; yaani Africa kusini alifanya makosa mawili:
1. Alienda kinyume cha msimamo wa AU.

2. Alishindwa kukumbuka fadhila kuwa Gadafi aliisaidia sana AN C ilipoluwa inapambana na Makaburu kudai uhuru..

Yote hayo yalitokana na Africa kusini kuwa kibaraka wa mataifa ya magharibi.

Africa hii kwa sasa viongozi ambao hawajawekwa mfukoni ni yule wa Mali, Niger na Burkina Faso.
 
Kwahiyo sasa ivi si Kagame Tena Bali ni Ramaphosa anawamiliki M23???!!🤷🏿🤷🏿
 
Ndiyo maana Kagame alibweka alijua yote haya nyuma yake yupo bwana wake na south Africa anataka kutibua mambo
 
Tunachosubiri ni kumpiga bit kagame aache kuisaidia M23
Ukiangalia kwa undani zaini waweza ona kuwa wapo pamoja na PK.
  • PK ni hasimu wa SA, juzi kamropokea ramaphosa kisa migogoro wa Congo
  • SA ni hasimu wa islael
 
na Tramp kaipiga mkwara SA kuhusu misaada yake
 
20250204_121940.jpg

Trump ame freeze support kwenda South Africa kama retaliation dhidi ya sera mpya ambayo ameiita ya uonevu.

Kumekuwa kuna ongezeko kubwa la wakulima wa kizungu kuuliwa na watu weusi. Bila shaka hii ni kutokana na chuki na kisasi walichonacho dhidi ya wazungu hao.

Inasemekana tangu apartheid kuisha 1994, wakulima wa kizungu 4000 wameuliwa kutokana na mashambulizi ya makundi/binafsi ya watu weusi
 
Back
Top Bottom