rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Ishu ya Goma ni kubwa sana.
Haya madini ya Congo ni makampuni mengi sana ya nchi kubwa yanafaidika nayo.
Watengenezaji wa simu na betri za magari wote wanategemea madini ya Congo.
Na Elon Musk ana sauti serikalini unategemea nini?
Kagame ni puppet wa Magharibi. It's safe to say, Kagame akiuawa ndio Congo itatulia kwa muda Hadi kibaraka mwingine apatikane.
Lakini nani wa kumfunga paka kengele.
Unaona South Africa anaanza kuwekewa vikwazo Fulani Fulani. Hiyo ni nje, behind the scene ni kwamba anaambiwa tulia au tuendelee kukuwekea vikwazo.
Kwahiyo hata ile morality ya kimchapa PK inapungua.