Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Comment yako Imenkfanya nifikirie Ngorongoro, Loliondo, Banadari ya Dar na BagamoyoYeye anadhani ardhi inahusu hawa waliopo gaza kwa sasa. Anasahau kuwa huo ni urithi wa vizazi na vizazi. Pia anasahau kuwa ardhi ni pamoja na yaliyomo juu ya ardhi, ndani ya ardhi, bahari yake, gesi iliyopo katika mwambao wa bahari n.k.
🤣🤣Kwa nin asiibadilishe califonia na LA iliyoungua huo upendo ameutoa wapi
Hapo hiyo video ni utahira maana huwezi kutengeneza kitu ukaweka status zako kila mahali kama unataka kujenga jenga kitu cha watu kujiona ni kitu cha watu sijui why hana akili huyooooDonald Trump ni m'beba maono ya dunia. Tundu Antipas Lissu m'beba maono ya Tanzania.
It is not that easyMpango ni kuwahamishia Wapalestina Misri na Jordan
Video ni ya kufikirika. It is not realNi lini wapalestina walitaka haya mambo ya kuonesha vichupi na vikaptula ufukweni huku wakinywa bia?
Kama hii video ni ya ukweli inaonekana wazi kabisa Trump na watu wake bado hawajaelewa ni nini haswa hawa wapalestina wanachotaka au kukipigania miaka nenda rudi…
kwani pale USA maeneo yameisha!!!Ameposti video kwenye mtandao wake wa Truth Social jinsi anavyoina Gaza ya siku za mbeleni kupitia mpango wake wa Gaza riviera.
View attachment 3250960