Trump azidi kusisitiza kila mtu akachukue mafuta yake Homurz.Yeye basi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Tofauti na waziri wake wa ulinzi,Hegeseth,Trump yeye hajivungi tena kuhusu kushindwa vita alivyovianzisha na Iran.

Wakati wa mahojiano hapo jana na mashirika ya habari.Trump amerudia kwa mara nyengine kusema kuwa nchi zinazounda umoja wa NATO ni kama chui wa karatasi tu.Akawapa mipasho kama ile ya mitaani,kwamba kama wao walivyoshindwa kumsaidia kupigana na Iran,na yeye hawezi tena kutoa msaada wa kuifungua Homurz peke yake,Kila mmoja akachukue mafuta yake.

Matamko hayo na mengine ameyatoa huku siku sita zikikaribia alizosema anatoa onyo kwa Iran kufungua mlango wa Homurz ili meli za mafuta na gesi zipite,bila hivyo angepiga vikali na kuviripua visima vyote vya mafuta pamoja na kushikilia kisiwa cha Kharg kinachosafirisha asilimia 90 ya nishati ya Iran kwenda nje.
Kabla ya onyo hilo kulikuwa na maonyo mengi ambayo Iran waliyapuuza na Marekani kila yakikaribia alibadilisha maneno na kurudi nyuma.

Alipotoa tamko la kwamba kila mtu akachukue mafuta yake pia alisema vita vitakwisha kati ya wiki 3 mpaka 4 zijazo.Hata hivyo kabla wiki hizo 4 leo usiku anatarajiwa kutoa tamko rasmi la kukimbia vita kabla ya kufikiwa kwa lengo lolote kati ya yale yaliyotajwa kama sababu za kuingia vitani akisaidiana na Israel.
 
Trump chizii
 
Super power anataka kusaidiwa tena?

Yeye aliitwa awasaidie Israel ila na yeye anatafuta wakumsaidia yeye!

Muajemi kawashika pabaya.
 
Nyani Haoni kundule, machizi wengu wapo humu kujadili hoja nzito za level yakidunia, wameshindwa na ya kina Rostam na CCM ya Samia watayaweza ya Super power U.S.A na ya mwekezaji mkubwa, raisi wa Dunia? D.T!!! Acheni kufanya utani msibani nyie.

Trump ni chujio la uchafu, kama hamkuelewa slogan ya "Make America great again" hiyo ndio njia pekee aliyokuwa nayo bwana mkubwa, kwenye hiyo Slogan hakuna cha Nato, wala France, wala U.K...Wala nini... Israel kama Watu wenye maarifa mengi wao wameusoma mchezo wa bwana mkubwa na wanakwenda nae step moja, ukishikwa shikamana.
 
BAISKELI ZITAPANDA BEI SANA .

wanaofuga farasi na punda ndio zitakuwa daladala.

ndio mwanzo wa dhiki kuu

vita vya tatu vya dunia

unyakuo kurudi kwa Yesu mara ya pili.

Mwanzo wa ule mwisho.

HALI ITAENDELEA KUWA MBAYA KILA LEO/KILA KESHO ITAKUWA AFADHALI YA JANA.
 
Kwanza icho Kibabu kina kesi za Ubakaji watoto wadogo!!!

. Kikaona kianzishe Vita iyo Vita kwasasa kila mtu kwanzia Kesho na kuendelea utalipia iyo movie yake..

kusafiri kwasasa kinaogopa kutokana na Janga lake!!!
 
20260402_071057.jpg
 
Back
Top Bottom