Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
- Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
- Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
- Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
- Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
- Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
- Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
- European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
- Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
- Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
- Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
- Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
- Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.